Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

Naanza na usemi wa zamani wa "ujanja mwingi mbele kiza", ndivyo ilivyo kwa ZITTO ZUBERI KABWE, aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kupitia CHADEMA.

Nimetoka kigoma janaJULY 2 2015,kwa ziara yangu ya siku 20...kijiji kwa kijiji na kata kwa kata jimbo la kigoma mjini.

Nikiwa nafanyia kazi utafiti wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu kwa ngazi ya urais, nisingependa kuvujisha juu ya urais kwa kuwa muajiri wangu bado ajatoa hadharani majibu yake.

Ila watafiti tuliamua kujiongeza na kuhoji kuhusu hali ya mbunge huyu kisiasa ili kujua hali yake kisiasa, mbali na dodoso la kikazi rasmi la muajiri wetu. majibu yake yakawa.

1. 20%awajui kama atagombea na hata akigombea awajakata shauri kumuunga mkono.

2. 43%watachagua bila kuangalia sifa za wagombea wa ubunge wa vyama vyao, hapo wapo CHADEMA na CCM.

3. 11%Wanamuona kma msaliti na mtu ambaye siwakutegemewa kwa lolote. na wanaafki juu ya tuhuma zake za usaliti.

4. 8%watamchagua wanamuona kama Icon ya kigoma na uzawa zaidi unatawala.

5. 6% ni hofu juu ya siasa zake za kidini alizo anzisha. wametoa maoni hawayo mchagua kwa kuogopa udini anaoanza kupandikiza hapa wengi ni madhehebu ya kikristo.

6. 2%wanasubiri kushawishiwa wakati wa kampeni na kwa sasa awajakata shauri wa kumchagua.

Hii kwangu naiona ni sababu tuh ya kwanza ya kumpoteza mbunge huyu wa zamani wa CHADEMA...
sababu zingine kubwa ni,

1. Nguvu ya chadema kigoma mjini, ambapo halimashauri ya kigoma ujiji ipo chini ya CHADEMA.

2.Nguvu ya ccm kigoma mjini ambapo Jimbo hilo hadi saa lipo chini ya mbunge wa CCM, mbali na miaka yote chadema kushinda halmashauri na vijiji vingi, bado CCM inaiona ndiyo kete yake turufu Nasehemu yenye unafuu luliko majimbo yote kwa Mkoa wa Kigoma.

3.Naona mkakati maalumu wa chadema wa bora tukose wote, ambapo hata wanachama wa viongozi wa CHADEMA Kigoma. Ambapo wanakiri hadharani kuwa ni bora washinde CCM kuliko msaliti Zitto.

4.Nguvu ya maadui wa ZITTO nje ya kigoma, hapa wapo wengi ambapo wanamtizama kama mtu mbaya, msaliti, mchongeaji, na hata walio pata matatizo kwenye kazi zao sababu ya ZITTO kipindi cha kamati PAC hawawote wameamua pia kuingilia uchaguzi wa kigoma, kwa ufadhili na fitina dhidi ya ZITTO

5.Ni ZITTO kutolewa muhanga na ACT badala ya kuona hatari hii kujikita kwake badala yake wagombea wote wa ACT wanamuhitaji azunguke kwenye majimbo yao. ndiyo inapelekea kuharibu zaidi, baada ya kuharibu haiba ya kijana huyo baada ya mtindo wa zomeazomea kuanza katika mikutano yake.

MAMBO HAYA YANAPELEKEA NISEME MA NINUKILIWE KUWA KAMA ZITTO ZUBERI KABWE ATASHINDA KIGOMA MJINI, NITATEMBEA UCHI KUANZIA KIBAHA MPAKA POSTA OFISI ZA BUNGE..... SAA 3 ASUBUHI..... NAMBA ZANGU ZA SIMU NI 0784 868312

mKUU NATAMANI UTAKAPOANZA KUTEMBEA UCHI NIJE NISHUHUDIE MAANA JAMAA KASHACHUKUA JIMBO
 
Namkumbusha huyu mdau atimize ahadi yake, maana inaonekana Zitto atarudi bungeni
 
asanusye nakukumbusha ahadi yako ya kutembea uchi toka kibaha mpka posta. nitapenda nishuhudie utatembea lini na muda gani gani. tafadhali naomba iwe mchana na na sio usiku.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa!! Ahadi zingine hizi.wapi juma nyosso,kuna ulaji huku njoo fasta!! Tujuze lini utatimiza hii ahadi.
 
Tatizo vijana mnachambua siasa kama mnavyochambuaga dagaa na mama zenu.Toa ratiba utatembea lini vijana waanze kuandaa mafuta ya cherehani na grease.Hivi ni vitendo dhidi ya maneno.
 
Zito Kabwe Ni Wa Kulaumiwa Kauwa Upinzani Kigoma
Yaani Machali Kapoteza Jimbo Sababu Ya Kwenda Act
 
Kiukweli naungana na mleta mada.Kuliko Zitto ashinde hapa Kigoma mjini ni bora Ccm washinde,tutafanya kila linalowezekana huyu msaliti tumdharilishe nasisi.Sio lahisi Zitto ashinde hapa Kigoma mjini

Unasema??
 
Naanza na usemi wa zamani wa "ujanja mwingi mbele kiza", ndivyo ilivyo kwa ZITTO ZUBERI KABWE, aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kupitia CHADEMA.

Nimetoka kigoma janaJULY 2 2015,kwa ziara yangu ya siku 20...kijiji kwa kijiji na kata kwa kata jimbo la kigoma mjini.

Nikiwa nafanyia kazi utafiti wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu kwa ngazi ya urais, nisingependa kuvujisha juu ya urais kwa kuwa muajiri wangu bado ajatoa hadharani majibu yake.

Ila watafiti tuliamua kujiongeza na kuhoji kuhusu hali ya mbunge huyu kisiasa ili kujua hali yake kisiasa, mbali na dodoso la kikazi rasmi la muajiri wetu. majibu yake yakawa.

1. 20%awajui kama atagombea na hata akigombea awajakata shauri kumuunga mkono.

2. 43%watachagua bila kuangalia sifa za wagombea wa ubunge wa vyama vyao, hapo wapo CHADEMA na CCM.

3. 11%Wanamuona kma msaliti na mtu ambaye siwakutegemewa kwa lolote. na wanaafki juu ya tuhuma zake za usaliti.

4. 8%watamchagua wanamuona kama Icon ya kigoma na uzawa zaidi unatawala.

5. 6% ni hofu juu ya siasa zake za kidini alizo anzisha. wametoa maoni hawayo mchagua kwa kuogopa udini anaoanza kupandikiza hapa wengi ni madhehebu ya kikristo.

6. 2%wanasubiri kushawishiwa wakati wa kampeni na kwa sasa awajakata shauri wa kumchagua.

Hii kwangu naiona ni sababu tuh ya kwanza ya kumpoteza mbunge huyu wa zamani wa CHADEMA...
sababu zingine kubwa ni,

1. Nguvu ya chadema kigoma mjini, ambapo halimashauri ya kigoma ujiji ipo chini ya CHADEMA.

2.Nguvu ya ccm kigoma mjini ambapo Jimbo hilo hadi saa lipo chini ya mbunge wa CCM, mbali na miaka yote chadema kushinda halmashauri na vijiji vingi, bado CCM inaiona ndiyo kete yake turufu Nasehemu yenye unafuu luliko majimbo yote kwa Mkoa wa Kigoma.

3.Naona mkakati maalumu wa chadema wa bora tukose wote, ambapo hata wanachama wa viongozi wa CHADEMA Kigoma. Ambapo wanakiri hadharani kuwa ni bora washinde CCM kuliko msaliti Zitto.

4.Nguvu ya maadui wa ZITTO nje ya kigoma, hapa wapo wengi ambapo wanamtizama kama mtu mbaya, msaliti, mchongeaji, na hata walio pata matatizo kwenye kazi zao sababu ya ZITTO kipindi cha kamati PAC hawawote wameamua pia kuingilia uchaguzi wa kigoma, kwa ufadhili na fitina dhidi ya ZITTO

5.Ni ZITTO kutolewa muhanga na ACT badala ya kuona hatari hii kujikita kwake badala yake wagombea wote wa ACT wanamuhitaji azunguke kwenye majimbo yao. ndiyo inapelekea kuharibu zaidi, baada ya kuharibu haiba ya kijana huyo baada ya mtindo wa zomeazomea kuanza katika mikutano yake.

MAMBO HAYA YANAPELEKEA NISEME MA NINUKILIWE KUWA KAMA ZITTO ZUBERI KABWE ATASHINDA KIGOMA MJINI, NITATEMBEA UCHI KUANZIA KIBAHA MPAKA POSTA OFISI ZA BUNGE..... SAA 3 ASUBUHI..... NAMBA ZANGU ZA SIMU NI 0784 868312
haya katembee uchi..siasa hazitaki takwimu zenu feki..tembea uchi sasa
 
Maelezo yako yamekaa vizuri, na yana ukweli fulani ndani yake. Japo hata bila kufanya utafiti, kwa kutabiri tu kuna uwezekano mkubwa hayo yakatokea. Mnyukano wa vyama viwili vya upinzani hususani CHADEMA vs ACT pale Kigoma Mjini, kutainufaisha zaidi CCM, na kuifanya iibuke mshindi. Hii inatokana na ukweli kuwa ACT inategemea zaidi mashabiki wake ambao wengi wao walikuwa ni hawo hawo mashabiki wa CHADEMA. Sasa hawa ni wale ambao walihama pamoja na Zitto Kabwe a.k.a Supreme Leader au Ayatollaaah kwa sababu wawo wanamwamini zaidi mtu, na sio itikadi au sera za chama husika. Kwa hiyo, mashabiki wa upinzani ni wale wale ambao watajigawa na kuwa pande mbili, huku CCM ikiendelea kuwa na wanachama na mashabiki wake waaminifu na wasioyumba.

Nadhani Ayatollaaah hakujishauri au hakushauriwa vizuri. Pamoja na uungu wake kule Kigoma bado naona lile jimbo likiwa ni hatari sn kwake. Mwisho, kama wewe ni mtafiti kweli jaribu kuhariri (edit) kazi yako ili ikae kweli kama ya mtu ambaye ni mtafiti. Mfano, kila baada ya kituo sentensi inatakiwa kuanza kwa herufi kubwa. Pia neno "ajatoa" sio neno la Kiswahili, na badala yake "hajatoa" ndio neno sahihi. Ngoja tusubiri waje wenyewe mashabiki wa AC
T-TANZANIA / WAZALENDO na huyo mungu wao utaona watakavyokuwakia

unajiskiaje kwa zito kushinda?
 
Ungeanza tu kutembea uchi sasa hivi kwani Kigoma mjini walishachagua mbunge wao na ni Zitto Zuberi Kabwe wanasubiri kuhalalisha kupitia tume ya Taifa ya Uchaguzi hana mpinzani hapa, isipokuwa wapo watu wachache waliopewa visenti na Mbowe ndo wanachongachonga ovyo. Hawamuwezi Zitto nawashauri wajitazame vizuri. Wakumbuke " If you cant win them join them"

Jamaa katika.
 
Zitoo ni mchangiaji mzuri bungeni. Lakini haiondoi ukweli kuwa amechangia sana kuua upinzani na kusababisha CCM ishinde maeneo ambayo ingeangukia pua.
 
Ungeanza tu kutembea uchi sasa hivi kwani Kigoma mjini walishachagua mbunge wao na ni Zitto Zuberi Kabwe wanasubiri kuhalalisha kupitia tume ya Taifa ya Uchaguzi hana mpinzani hapa, isipokuwa wapo watu wachache waliopewa visenti na Mbowe ndo wanachongachonga ovyo. Hawamuwezi Zitto nawashauri wajitazame vizuri. Wakumbuke " If you cant win them join them"

Jamaa kapita.
 
Back
Top Bottom