Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

Ni ukweli usiopingika ataonekana anajisafisha, lakin kwasababu hatujui alizipata lin data hizo, tumpen pongezi zake na tuombee uchunguz wa tuhuma hiz za viongoz ufanyike haraka, ingawa sitegemei uchunguz huo kutoa taarifa kamili na za kweli hasa kwa hao wa CCM. Nchi inaliwa kwel kwel si utan, 152Mil. JK anasema hela hamna, kumbe kuna sehem watu wanakula kiulain?? 2015 msiishie kukata mti tu, ng'oen mti na mizizi yake kabisa ili mti mpya utakaopandwa uote kwa uhakika.
 
Zitto ni fisadi na mla rushwa manake now days amekuwa akiwasapoti magamba na kuwapinga wabunge wenzake wa chadema na amepunguza makali kwa % kubwa na kwa hili analotuambia sijui alikuwa wapi kipindi chote?au ufsadi huo umeanza jana au juzi?au ana interest katika ufsadi huo?
 
Atakuwa alikula mlungula huyu mbona anajieleza sana na kwa nini asisubiri uchunguzi ukamilike. Hata hivyo ile tume ya Jaji Bomani ndiyo ilimuonjesha utamu wa rushwa. Wana JF kumbukeni Zitto aliaanza kuwa mtata hasa ndani ya chama chake baada kumaliza kazi aliyotumwa na swahiba wake Dhaifu ya tume hiyo. Tatizo la huyu dogo anataka vyote kama fisi, kaufisadi anataka (na Anafanya ufisadi pia) na vyeo anataka. Mnafiki tu akafie mbele ya kamati ya bunge
 
sijawahi kumwamini Zitto tangu tukiwa chuoni. Namjua ni mwanasiasa na hana taaluma nyingine kama kina Tundu Lissu. So tuwe makini sana naye.
 
nakumbuka Zitto alitushauri hile mitambo tuinunue na ilikuwa bei karibu na bure watu tukapinga, katika hili inawezekana wabaya wake walikuwa wanajuwa anakuja na hili, wakamlisha wrong information kuhusu Mhando hili kummaliza ata akitoa hili liwe halina nguvu, naona wamefanikiwa, ukweli utabaki kuwa ukweli pesa tunayopoteza kwenye hayo madudu yasiyo na mwenyewe ni nyingi mno, tushirikiane wananchi tuyamalize. baadae sana watu wanaompinga Zitto ndiyo watakuja kumuelewa, lakini kijana mwenzetu ni mzalendo haswa.
 
211142_423607097685099_1520489415_n.jpg


Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION.
TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100 zinzoingia Tanesco sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo.

Amesisitiza kuwa hakuna utofauti wowote na kipindi kile cha RICHAMOND ambayo nayo ilikuwa inalipwa sh.million 152 kwa siku.

Mbunge amabye amejizolea umaarufu wa kuwa makini na mambo nyeti yanayogusa Taifa na wanyonge wa tanzania amesisitiza kuwa TANESCO na SYMBION wanafanyamadudu yaleyale ya RICHMOND kiasi kwamba TAIFA LKINAPOTEZA PESA NYINGI SANA.
Source :ITV

Hii kampuni ya SYMBION inamilikiwa na akina na I jamani? Usikute RICHMOND walibadili jina tu
 
Hii kampuni ya SYMBION inamilikiwa na akina na I jamani? Usikute RICHMOND walibadili jina tu

Magazeti yamekuwa yakiripoti tangu bajeti ya wizara ya nishati na madini itangazwe kuwa pesa nyingi za TANESCo zinapotelea Symbion ambao wanalipwa capacity charges pesa nyingi sana kila mwezi. Wazalishe wasizalishe umeme jamaa wakomba tu pesa za TANESCo. Na ikumbukwe kuwa Symbion = Rostam Aziz = Edward Lowassa. Kwahiyo Richmond inaendelea kama kawaida.
 
Hii kampuni ya SYMBION inamilikiwa na akina nani? Usikute RICHMOND walibadili jina tu na charges za Kila siku zikaendelea kuchargiwa kwa Tanesco.
 
Magazeti yamekuwa yakiripoti tangu bajeti ya wizara ya nishati na madini itangazwe kuwa pesa nyingi za TANESCo zinapotelea Symbion ambao wanalipwa capacity charges pesa nyingi sana kila mwezi. Wazalishe wasizalishe umeme jamaa wakomba tu pesa za TANESCo. Na ikumbukwe kuwa Symbion = Rostam Aziz = Edward Lowassa. Kwahiyo Richmond inaendelea kama kawaida.

Kama kukiwa na ukweli wa wamiliki wa hii kampuni kuwa ni wale wale wa RICHMOND basi hii ni noma nyingine.
 
zitto you can fool some people sometime, but you can't fool all the people all the time!.
Ccm wanazijua mbinu za kumkaanga samaki kwa mafuta yake mwenyewe!.
Kama zamani ulishawahi kuvuta kitu kidogo somewhere, usidhani wale waliokupa hicho hawakulii timing ya kukumaliza.
Kama umekula mlungula (not necessary this time) basi ujue credibility yako imeshuka below sana, it is hard to be trusted!.

Na haya matukio yaliyotokea juzi yawe onyo kwa vijana wanaochipua katika siasa kama kina mnyika- huwezi kuwadhulumu watanzania ukabaki salama!
kama Zitto amewadhuru Watanzania si amekwambia uende mahakamani,au umchunguze kwa njia yoyote ile hata kwa kwa kutumia darubini uone namna alivyo msafi
 
zitto ni fisadi na mla rushwa manake now days amekuwa akiwasapoti magamba na kuwapinga wabunge wenzake wa chadema na amepunguza makali kwa % kubwa na kwa hili analotuambia sijui alikuwa wapi kipindi chote?au ufsadi huo umeanza jana au juzi?au ana interest katika ufsadi huo?
Mla rushwa Nape Nnauye, Chenge na Lowassa....Zitto amekwambia nenda wewe na ndugu zako mkamchunguze kama anakula rushwa.
Hata mkitumia tingatinga hamuwezi kumuangusha jembe kwa sababu amesha wabomolea baraza la amwaziri kwa zile saini
 
Ashukuliwe zitto zuberi kabwe kwa sabau kuna watu hapa (jf) midomo iliota glue kwa sababu walikosa kijiwe cha kusemea umbea wao...yaani leo tumejipoambanua kuwa huyu na mam kiboga hakuna utofauti.
 
haa haa mfa maji haachi kutapa tapa we zzk situmeshakuambia tumegundua unamikono michafu usicheze na sisi?
mpango wenu wa kumpakazia shutuma umeshindikana na ameshawaambiua kuwa hato salimu amri mbele ya watu waovu,wanafiki,vibwengu kama ww
mikono michafu ya kwako na wakuu wako ndio uinataka kujitakasa kupitia zzk..

Hakunaga kama zitto
 
Nadhani hajaniacha miaka 100 bali ameniacha miaka 1000, yataka usanii wa hali ya juu kukemea rushwa huku na wewe ukiwa mla rushwa mkubwa na unapata utajili wa haraka usio hata na maelezo huku ukiwa si mfanyabiashara.

Kumbe tatizo sio urais tu, na utajiri pia unawawasha watu, kila mwenye ziada mla rushwa sio?
 
FISADI LA KUTUPWA AMBALO LINAIBA KWA MARINGO KWENU MLIWAO NI HILI HAPA LILISHA KUJA HAPA JF LIKAOMBA RADHI SASA LIENDE LIKATUBU BOMANI LILIKOFUNGIA NDOA YAKE YA KIHUNI

KATIBU MKUU WA CHAMA_TAIFA
Anakashfa zifuatazo ambazo majibu yake yapo(ikibidi kuyaleta yafika) na amewahi kukili hapa JF kipindi flani alipobanwa na wadau hapa Jf.

1.Kumlipa posho ya tsh;280000 mfanyakazi wa ndani kila siku anaopokwenda kwenye kesi arusha..pesa hiyo ni ruzuku ya chama.
2.Kujikopesha fedha za kujengea nyumba Kunduchi( nyaraka tunazo na majibu alishatolea hapa-bahati mabyaa sana waliokopeshana mmoja wao ameshamfukuza).
3.Kulipa kodi kwa mwezi zaidi ya Millioni Moja kupitia ruzuku ya chama pale kijitonyama alipokuwa naishi awali(Abla apartment)
4.Kukopeshana pesa za uchaguzi na mbunge wa iringa(viti maalumu) na kupanga matokeo ya uchaguzi huo..mgogoro hadi leo haujaisha pale iringa
5.kumufukuza/kwafukuza viongozi wa mbulu na Shunyanga kwa sababu tu walmeonekana wakiunga mkono sera za ZZK
6.Kufukuza kazi wakurugenzi bila kufuata kanuni ilimradi nafasi hiyo akabidhiwe Joseophine(mama Joniour)
7.Anakashfa ya kujilipa mshahara wa Million 7 kwa mwezi,ili hali katibu mkuu wa mkoa,wilaya,kata hapewi hata cent moja ya posho wala mshahara.

Join Date : 30th July 2012
Posts : 49
Rep Power : 310
Likes Received17
Likes Given9
 
Mikataba kati ya TANESCO na Independent Power Producers haikubaliki hasa issue ya capacity charge. Pia Swala la TANESCO kugharamia mafuta ya kuendesha mitambo ya independent power producers halafu baadaye kununua umeme wa kampuni hizi kwa bei mbaya ni ujinga uliovuka mipaka. Nchi hii inaendeshwa na wahuni ambao wamefikisha nchi pabaya. Tanzania is in dire need of a Chavez type leader with guts to terminate this nonsensical contracts in Energy and Mineral sector. Ujinga/uhuni sector ya nishati na madini is unsustainable as is intolerable.
 
Mbona watu wanambeza sana huyu mtu kakosa nn mpaka asiaminike kwa anachokisema??,tuweke chuki pemben kama hili analolisema ni kwel bas hii nchi ina tatizo kubwa

aliposema aandoto za kuwa rais .. chuki zikaanzia hapo...
 
Back
Top Bottom