Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

posts zote kwa siku moja? hehehehehe, hakyamungu ..haya mafisadi chipukizi kazi kwenu

Hahahahaaaa, kazi kweli wanayo hadi kufikia kusajili majina feki huku jukwaani!
Kumbe Urais una kazi namna hii! Hahahahaaaa
 
Alitakiwa aende Mbali Zaidi Kama mwenyekiti wa Kamati muhimu
Akienda ndani zaidi watasema kala rushwa..mbona hakuna geni inajulikana wazi Symbion ni Richmond hakuna kilichobadilika isipokuwa timing tu. Walitegea Mama Clinton anaingia nchini wakaja na kufanya Introduction ya Symbion kama vile Mama Clinton anajua kinachoendelea, kumbe masikini wa watu hajui lolote kama changa la macho alopigwa JK na tawi la CCM Washington DC Marekani. Ni wahuni wale wale waloingiza shrika la Richmond ndio wabia wa shirika la Symbion safari hii hawakuacha makosa ya Richmond kuacha miaya ya wananchi kugundua..
 
And still this guy still dreams to become the president of this great country! ama kweli Zitto ni Janga la kitaifa!!!!!!!
Hahahaaaaa! Anayetaka kuiokoa nafsi yake ataipoteza, lakini yule ambaye yuko tayari kuipoteza nafsi yake ataiokoa!
 
Unajua wengi wetu sisi ni chadema,sasa hivi kama sio kwa mambo mawili matatu,tungeweza kuwa tunaimba uzuri wako bwana zito,tukizidi kusema pengine ambavyo ingekuwa vyema ukiwa waziri mkuu wetu wa kwanza hapo 2015...lakini???..

..Lakini sioni haya kusema I do not really understand those who keep on calling you "intelligent" while you have made such massively wrong political moves lately.

Re-think your strategy..the current one is leading you to a loose end.
Hata mimi namashaka sana na uwezo wake wa kupambanua mambo Kulingana na nyakati
 
And still this guy still dreams to become the president of this great country! ama kweli Zitto ni Janga la kitaifa!!!!!!!
Hahahaaaaa! Anayetaka kuiokoa nafsi yake ataipoteza, lakini yule ambaye yuko tayari kuipoteza nafsi yake ataiokoa!
 
211142_423607097685099_1520489415_n.jpg


Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION.
TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100 zinzoingia Tanesco sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo.

Amesisitiza kuwa hakuna utofauti wowote na kipindi kile cha RICHAMOND ambayo nayo ilikuwa inalipwa sh.million 152 kwa siku.

Mbunge amabye amejizolea umaarufu wa kuwa makini na mambo nyeti yanayogusa Taifa na wanyonge wa tanzania amesisitiza kuwa TANESCO na SYMBION wanafanyamadudu yaleyale ya RICHMOND kiasi kwamba TAIFA LKINAPOTEZA PESA NYINGI SANA.
Source :ITV


Yakhe naona mmeamua kudondoshea nyuzi ili under cover assignment isiwe blown!!! Yaani ina maana haya kayajua jana....

Just being inquisitive...
 
Akienda ndani zaidi watasema kala rushwa..mbona hakuna geni inajulikana wazi Symbion ni Richmond hakuna kilichobadilika isipokuwa timing tu. Walitegea Mama Clinton anaingia nchini wakaja na kufanya Introduction ya Symbion kama vile Mama Clinton anajua kinachoendelea, kumbe masikini wa watu hajui lolote kama changa la macho alopigwa JK na tawi la CCM Washington DC Marekani. Ni wahuni wale wale waloingiza shrika la Richmond ndio wabia wa shirika la Symbion safari hii hawakuacha makosa ya Richmond kuacha miaya ya wananchi kugundua..

Kuna watu humu ukiwakumbusha hayo mambo ya tawi ya DC watakutoa macho!!

Wapi LE MUTUZ Idodomya!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimeishiwa maneno mie sina la kusma nasoma na kusikiliza and am sure more will come in the open it is only matter of time
 
Another wrong move!

Unaita press conference kujisafisha kuwa wewe hustahili kutuhumiwa katika kupokea rushwa kisha unafikiri ndo wakati wa kutaja uchafu unaoendelea hapo TANESCO mfano mikataba ya IPTL n.k.

Kwa nini hukusema jana au juzi hayo au mwezi uliopita. Kwa nini ulikuwa hujamweka kikaangoni huyo MD Mhando juu ya hayo yanayofanyika TANESCO ili akutajie kwa maandishi kuwa si yeye bali ni mtu mwingine wizarani au kwingineko anayelazimisha mikataba hiyo.

Utasemaje kuwa TANESCO wamekuwa wanapata clean certificate ya CAG wakati unaorodhesha ufisadi kibao unaofanyika hapo kwa nini sasa wewe ulikuwa huja mweleza hata CAG auandike kama kiongozi wa Kamati husika?

Unazidi kujimaliza Zitto kama wale watu wanaofikishwa Polisi kwa tuhuma halafu wanasema, "si mimi tu na fulani naye ni mwizi mbona hamjamkamata?" Kuanzia sasa unatakiwa uisaidie Polisi kueleza vyema jinsi hayo yamekuwa yanaendele kutendeka katika Shirika na wewe hujamlazimisha MD kuondoka, wala wewe mwenyewe kusema una step-down kutokana na hizo tuhuma ambazo hazijarekebika kwa muda mrefu kama ulivyoonyesha.

A one billion question:
Utaendeleaje kuwa kiongozi wa Mashirika ya Umma wakati kuna shirika unajua lipo na linaendelea kutumika kuwaumiza wananchi wa ufisadi? Kwa nini usiwape ultimatum na kama hakuna mabadiko jawabu ni kujiwajibisha na kuachana na kuongoza Shirika la kifisadi; kinyume chako tunakuona unaanza kulilia hoho sijui wanataka kukunyangánya Uwenyekiti n.k Kiongozi Msafi hatoi chozi kuendelea kuhatamia asasi chafu!
 
ulitegemea Kibs awe upande wa Zitto? Ama kweli upande wa pili wamewashika pabaya!

Matola, Zitto kawaacha miaka 100 ndio maana hamuwezi kumsoma. Na ndio maana sishangai siku hizi unafikra kama za Kibs
Nadhani hajaniacha miaka 100 bali ameniacha miaka 1000, yataka usanii wa hali ya juu kukemea rushwa huku na wewe ukiwa mla rushwa mkubwa na unapata utajili wa haraka usio hata na maelezo huku ukiwa si mfanyabiashara.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom