hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
Hapana mimi siyo mzaramu, kabla hujaanza kunichukia. Mimi baba yangu ni mfipa na mama yangu ni Hibernian.
naomba usiniroge
Hapana mimi siyo mzaramu, kabla hujaanza kunichukia. Mimi baba yangu ni mfipa na mama yangu ni Hibernian.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.
Kama Zito kaingia Ukatoliki sababu ya mwanamke, basi hakuwa na dhamira ya kweli ya kumfuata Yesu.
Imenenwa Mme ataachana na wazazi wake ataambatana na mkewe, nao watakuwa kitu kimoja.
naomba usiniroge
That is the measure of your brain
The poorest observation ever.If only hii habari ni ya kweli.
I bet Zitto should be a very weak person, anayeyumbishwa hata na mwanamke.
I bet Zitto anatumia dini kama strategy ya kisiasa zaidi pale atakapotaka kugombea urais. Si unajua tena hapa kapigwa sana madongo kwamba ni kijana wa madrasa, hivyo anataka kuwaprove wrong. Slaa alishasema yeye angegombea mara moja, hivyo Zitto may be kasoma alama za nyakati zinazoonyesha 2015 ni ya CHADEMA. Nani atachukua nafasi ya Slaa kama si yeye.
The poorest observation ever.
ebwanaeee angemporomoshea mitusi heheh.... na uheshimiwa ungewekwa kando!Ungeiandika kwenye page yake ya facebook au twitter Zitto angekuheshimu. Lengo lako hapa halina mshiko
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki.
Ingawa ni uamuzi wake najua kuna wale ndugu zetu MAYAHEEE YAHEEE itawauma saaana.
Tafakari chukua hatua
Kama ni kweli it is good riddence! Itasaidia kujua hakika idadi ya wakuwategemea!Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki.
Ingawa ni uamuzi wake najua kuna wale ndugu zetu MAYAHEEE YAHEEE itawauma saaana.
Tafakari chukua hatua
NI uamuzi sahihi ili kuhakikisha kuwa kura zake mwaka2015 hazitokuwa chache kama alivyodai mwenyewe kuwa Uislamu ndio uliompunguzia umaarufu. Ni uchaguzi mzuri wa kuchagua dunia kuliko maisha ya baadae.Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.
If only hii habari ni ya kweli.
I bet Zitto should be a very weak person, anayeyumbishwa hata na mwanamke.
I bet Zitto anatumia dini kama strategy ya kisiasa zaidi pale atakapotaka kugombea urais. Si unajua tena hapa kapigwa sana madongo kwamba ni kijana wa madrasa, hivyo anataka kuwaprove wrong. Slaa alishasema yeye angegombea mara moja, hivyo Zitto may be kasoma alama za nyakati zinazoonyesha 2015 ni ya CHADEMA. Nani atachukua nafasi ya Slaa kama si yeye.
Hii Habari haina tija hapa ni matumizi mabaya ya nafasi za majadilianoHayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.