Zito abadili dini

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.

Wananchi Tunafahamu Hatari ya Kuchanganya Dini na Siasa. Hili Swala Kama ni Kweli au Sio Kweli ni Jambo Personal na Tuache Maswala ya Personal Believes Out of Politics. Tukianza Kuingiza na Kutatua Kila Mtazamo kwa Udini Tutaishia Kubaguana na Kuimaliza Hii Nchi.

Tumeona Mpaka Leo Kiongozi Yeyote Yule Anayeingiza Udini Tanzania Hawafanikiwi. Wananchi Tunaona ni OK Kusikia na Kujua Lakini Sio Sahii Kudiscuss na Kuanza Kuongelea Maisha ya Kiongozi Yeyote Kwa Undani.

Kama Yeye Mhusika Anataka Wananchi Wajue, Let's Be Wise and Stay Out of It. Wananchi We Have Nothing to Gain from It.
 
Kama Zito kaingia Ukatoliki sababu ya mwanamke, basi hakuwa na dhamira ya kweli ya kumfuata Yesu.

hata mwanmke anaweza kuhubiri injili sawa na mwanaume. kuwa mchumba wake hakumzuii kuingiza kondoo wa Bwana zizini, hiyo nikazi yake Bwana na huyo dada ni mtenda kazi tu shambani mwa Bwana. badilikeni jamani muachane na mfumo dume

Imenenwa Mme ataachana na wazazi wake ataambatana na mkewe, nao watakuwa kitu kimoja.

na inapendeza sana kama wakiwa mwili mmoja, imani moja na ubatizo mmoja.
 
If only hii habari ni ya kweli.

I bet Zitto should be a very weak person, anayeyumbishwa hata na mwanamke.

I bet Zitto anatumia dini kama strategy ya kisiasa zaidi pale atakapotaka kugombea urais. Si unajua tena hapa kapigwa sana madongo kwamba ni kijana wa madrasa, hivyo anataka kuwaprove wrong.

Slaa alishasema yeye angegombea mara moja, hivyo Zitto may be kasoma alama za nyakati zinazoonyesha 2015 ni ya CHADEMA. Nani atachukua nafasi ya Slaa kama si yeye.
 
If only hii habari ni ya kweli.

I bet Zitto should be a very weak person, anayeyumbishwa hata na mwanamke.

I bet Zitto anatumia dini kama strategy ya kisiasa zaidi pale atakapotaka kugombea urais. Si unajua tena hapa kapigwa sana madongo kwamba ni kijana wa madrasa, hivyo anataka kuwaprove wrong. Slaa alishasema yeye angegombea mara moja, hivyo Zitto may be kasoma alama za nyakati zinazoonyesha 2015 ni ya CHADEMA. Nani atachukua nafasi ya Slaa kama si yeye.
The poorest observation ever.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki.

Ingawa ni uamuzi wake najua kuna wale ndugu zetu MAYAHEEE YAHEEE itawauma saaana.
Tafakari chukua hatua
 
Hapa ni swala la kiimani zaidi na swala la Zitto kubadilisha dini hakuna wa kumlaumu kwani hakuna ajuae ni njia gani iliyosahii ....Dini zote ni sawa haivyo zitto kwakuwa umeamua wewe hilo ni la kukupongeza tu
 
sasa tunajadili humu ili iweje? that is personal issue

naomba tuongelee mambo yenye tija kwa taifa
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki.

Ingawa ni uamuzi wake najua kuna wale ndugu zetu MAYAHEEE YAHEEE itawauma saaana.
Tafakari chukua hatua
Kama ni kweli it is good riddence! Itasaidia kujua hakika idadi ya wakuwategemea!
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.
NI uamuzi sahihi ili kuhakikisha kuwa kura zake mwaka2015 hazitokuwa chache kama alivyodai mwenyewe kuwa Uislamu ndio uliompunguzia umaarufu. Ni uchaguzi mzuri wa kuchagua dunia kuliko maisha ya baadae.
 
If only hii habari ni ya kweli.

I bet Zitto should be a very weak person, anayeyumbishwa hata na mwanamke.

I bet Zitto anatumia dini kama strategy ya kisiasa zaidi pale atakapotaka kugombea urais. Si unajua tena hapa kapigwa sana madongo kwamba ni kijana wa madrasa, hivyo anataka kuwaprove wrong. Slaa alishasema yeye angegombea mara moja, hivyo Zitto may be kasoma alama za nyakati zinazoonyesha 2015 ni ya CHADEMA. Nani atachukua nafasi ya Slaa kama si yeye.

Hivi kumbe kuna watu/great thinkers in 21st century ambao bado wanamawazo kama haya (refer the bold part). Un believable :tape2:
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.
Hii Habari haina tija hapa ni matumizi mabaya ya nafasi za majadiliano
 
Back
Top Bottom