Zito abadili dini

ya ngoswe tumwachie ngoswe, hebu muacha coz ni maamuzi yake binafsi
 
huyo dada anapesa sana!ana NGO yake hivyo ZITTO ndiye anayelelewa kwa mahitaji ya kimaisha!hata hivyo ni aibu kwa mwanaume kulazimishwa kufuata dini ya mwanamke, mwanamke ndie anatakiwa afuate ya mwanaume maana anaenda kwenye ukoo wa KABWE!

kwangu mie naona ZITTO HANA MSIMAMO BURE KABISA HUYU JAMAA!
 
Kama ni kweli kachemka kubadili dini kisa mwanamke amekwisha pole yake
 
Shukrani kwa mleta mada. JF ni jamvi ambalo tunajuzwa kila habari. Nawashangaa sana wanaotaka cjui thread yako uipost cjui wapi,wengine wapi!je sie ambao hatuna muda wa kufika huko!

Nadhani tuheshimu mawazo yako. Alaf sijaona sehemu yoyote uliintend kupost mada inayosema ni suala la kitaifa,je mbona watu wanadai haina maslahi ya kitaifa,nani kawaambia ulitaka ihusu taifa? Je jf imesema kuwa hapa tunapaswa kupost mambo ya kitaifa pekee!?

Binafsi nashukuru kwa ujumbe wako. Mwishowe namshauri Zitto aong'oke kwa kufuata dhamira yake na si mkumbo. Akae akijua amechagua njia sahihi ya kumfuata mola,aenende katika njia bora ya kumcha Mungu.

Nawakia wanaJF siku njema.
 
i support you too ndg yng. Wakt mwngne 2we 2naangalia na v2 vya kupost. Hii issue ni vry personal so cdhan km kn hja kupotza mda kudscuss uhuru wa m2.

Kubadl din ni k2 cha kawaida sn. Nahc alyeanzsha hna lengo zur cz alymwmbia CDM mpk uwe mkristo ndo upewe cheo cha juu ni nan? CDM hakuna udin so aclete uzush hapa. Amtafte Zto atampa ukwel kw nn kabadl din!
I support you Mkuu. Sidhani kama hii issue whether it is true or not ina-tija kwa taifa letu.
 
huyo dada anapesa sana!ana NGO yake hivyo ZITTO ndiye anayelelewa kwa mahitaji ya kimaisha!hata hivyo ni aibu kwa mwanaume kulazimishwa kufuata dini ya mwanamke,mwanamke ndie anatakiwa afuate ya mwanaume maana anaenda kwenye ukoo wa KABWE!kwangu mie naona ZITTO HANA MSIMAMO BURE KABISA HUYU JAMAA
kwani wewe umesikia zito nifukara mpaka amtegemee mwanamke ktk maisha yake?kwa taarifa yako zito anaingiza zaid ya milion 70 kwamwezi ktk shugulizake ikiwemo na mshahara wa ubunge namarupurupu yakamatiza bunge namambo yake mengine,kwataarifa yako zito sio fukara kama unavyozani wewe.
 
jamani kwani kuna mtu alimsilimisha zitto? Sasa akiamua lolote si yeye na Mungu wake? Ebu acheni udaku tuongee ya maana. Mara anelelewa, mara ana hela mara fukara, yanawahusu nini? Acheni maisha yake ya chumbani bwana!
 
. [I said:
Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hiz[/I]i.

Hii naamini si kweli, hata kama ina ukweli, lengo lake ni ku-spin. mwandishi anataka kuonesha kuwa ndani ya CHADEMA huwezi kupata madaraka ya juu bila kuwa Mkatoliki/ au ukiwa Mwislamu. UDINI Mtupu!
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.
Hapa sijaelewa, kwani CHADEMA kina uhusiano wowote na Ukatoliki?
 
Tunaomba chanzo cha uhakika cha habari hii, vyenginevyo itaelekea kama udaku hivi! Liwe liwalo, iwe kwa ajili ya kufuata mwanamke au rafiki, huu ni uamuzi binafsi na unapaswa kuheshimiwa, kama tunavyowaheshimu wanaobadili majina, makazi, vyama n.k.
 
Je na wewe ukienda haja ukaanza kulia habari zako ziwekwe hadhani?. Acha mambo ya kike humu jamvini. Leta mambo mazito kuhusu taifa letu na mengine ya kujenga.
 
Kama ni kweli ni uamuzi wake binafsi basi aachwe sidhani kama ni big deal kujadili dini za watu hapa!
 
sioni kama ni Tatizo mtu kuwa na mke au mume mwenye dini tofauti....kuna civil marriage nyingi sana......

mimi rafiki yangu ni muislamu safi ana mke mkristo na mara nyingi tu humsindikiza mkewe kanisani na kuingia ndani kushiriki ibada.....lakini bado ni muislamu safi....mambo adimu kama haya ndio yanatufanya tuitwe watanzania ..kuheshimu hisia na imani za wenzetu....mimi binafsi kuna mambo mengi tu nayapenda kwenye uislamu..kuliko yale amabayo siyaafiki..lakini sitabadili dini nitabaki imara kwenye imani yangu..zote hizi ni njia za kumuendea muumba.

Hebu mwambie huyo rafiki yako aongozane na mkewe msikitini siku moja.....
 
Hata abadili hiyo dini na kuwa dini yoyote ile bado itakuwa ni maamuzi yake binafsi na sisi hatuna nafasi ya kujadili maamuzi hayo,kama ni kweli ninamtakia kila la kheri
 
Kwenye hili suala la dini hebu kila mtu aliye na akili timamu aamue fate yake KIDINI. This is too personal!! Cha ajabu hapa nini haswa? Ni kawaida mno. Mbona akina mama wanabadili dini kufuata za waume zao hatusemi?

Tena kuna member amethubutu kusema kuwa eti kama Zitto amekubali kubadilishwa na mwananmke basi ni kigeugeu, la hasha!! Zitto ni over 18 years of age so he knows his wants in life!!! Kwa hili namtetea Zitto kwa mengine uzi wangu upo pale pale na ananisioma vema hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom