zimetumika!!!!

maana yake mwenzako anajali ndiyo maana anatumia kondomu.......................au kwa sababu hukuhesabu inawezekana zinaonekana zimepungua kwa kuwa zimekaa muda mrefu hivyo zimeeksipaya............au.................
 
duhhh umenikumbusha scenario moja ezi hizo nakaa kwa wazazi, baba alitoka kwenye semina ya mambo ya ukimwi akaja na boksi la kondomu wamepewa huko,akaliweka juu ya kabati sebleni, mimi nimetoka zangu huko nikajua ni kaka yangu ndio kalisahau hapo kwahiyo nikaliondoa na kulipeleka chumbani kabla wazazi hawajaliona,kaka yangu aliona nikiliweka chumbani kwahiyo akajua ni langu akajichotea kadhaa,mdogo wangu alipoona nae akajichotea,kivumbi kilikua kesho yake baba anaulizia boksi lake afu tupo watoto wa kiume wote watatu,mimi bila kujua wenzangu wamepunguza bidhaa nikasema ukweli kwamba nililihamisha,akaniambia kalilete nikaenda nikachukua kulileta linafunguliwa limepungua mzee hata hakuniuliza kitu akasema tu kama mnalihitaji kiasi hicho nendeni lmkaendelee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom