zimetumika!!!!

Kilambi

Member
Apr 3, 2009
94
18
katika mipangilio ya maisha mnaamua wewe na mwenzio kutumia kondom, baada ya kujaribu hizi na zile mnakuta brand inayowavutia zaidi kwenye tendo, kuondoa usumbufu unaamua kununua box zima ambalo ndani yake kuna paketi ndogo ndogo za tatu tatu na ziko kama 50 hivi!kwa sababu moja au nyingine inafika wakati mnakinai/mnapata njia mbadala ya kupanga uzazi, hivyo mnaachana na kondom, siku zinasonga na maisha yanakwenda kama kawaida, baada ya muda katika kupanga panga chumbani kwenu unalikuta lile box la kondom, kulifungua unakuta zimepungua mno tofauti na wakati mnaacha kuzitumia,....watoto wako ni wadogo na chumbani kwenu ni wewe tu na mwenzio mna funguo!...utashukuru kuwa mwenzio anajali na anatumia kinga au hasira ya mwenzio kumegwa/kumega nje au au auuu.................
 
utamuuliza kwanza, pengine alipungukiwa na hela ya kununulia mboga akaamua achukue nusu kiboksi cha kondom amuuzie jirani. au pengine panya wametafuna baadhi, kuna condom nyengine zinakuwa na uharufu harufu wa samaki .
sio masihara ,hayo niliokueleza tayari yashawahi kutokea . kuwa makini kabla hujamfikiria mwenzio balaa la uzinifu.
 
nakumbuka Mzee Makamba aka baba januari alisema alikua ananunua box la kondomu na kuweka chumbani kwa wanawe wa kiume, wakienda shule alikua anakwenda kutizama, ALISHUKURU MUNGU KUONA HAZIPO!!.
back to the topic condom huonyesha unajali, sio mbaya atleast jamaa kafanya la maana, but utakua umejua!, kuliko asingetumia means usingejua at all!.
 
Hapo ndugu frahi kuwa jamaa ana jali lasivyo angekuwa anakwenda kavu kavu ingekuwa balaa.
 
utamuuliza kwanza, pengine alipungukiwa na hela ya kununulia mboga akaamua achukue nusu kiboksi cha kondom amuuzie jirani. au pengine panya wametafuna baadhi, kuna condom nyengine zinakuwa na uharufu harufu wa samaki .
sio masihara ,hayo niliokueleza tayari yashawahi kutokea . kuwa makini kabla hujamfikiria mwenzio balaa la uzinifu.

Kweli wewe ni klorokwini,nimeshakutwangia senks mkuu.Nina uhakika utaishi muda mrefu sana,kwa sababu kwa staili yako ya kuhandle mambo uwezi pata stress.Nimeipenda hii mkuu kwamba alipungukiwa mshiko wa mboga akaamua kufanya biashara kidogo.Haya bwana.
 
katika mipangilio ya maisha mnaamua wewe na mwenzio kutumia kondom, baada ya kujaribu hizi na zile mnakuta brand inayowavutia zaidi kwenye tendo, kuondoa usumbufu unaamua kununua box zima ambalo ndani yake kuna paketi ndogo ndogo za tatu tatu na ziko kama 50 hivi!kwa sababu moja au nyingine inafika wakati mnakinai/mnapata njia mbadala ya kupanga uzazi, hivyo mnaachana na kondom, siku zinasonga na maisha yanakwenda kama kawaida, baada ya muda katika kupanga panga chumbani kwenu unalikuta lile box la kondom, kulifungua unakuta zimepungua mno tofauti na wakati mnaacha kuzitumia,....watoto wako ni wadogo na chumbani kwenu ni wewe tu na mwenzio mna funguo!...utashukuru kuwa mwenzio anajali na anatumia kinga au hasira ya mwenzio kumegwa/kumega nje au au auuu.................

Ni vema ukajiridhisha kwamba kweli zimepungua kabla ya kuanza kuhamaki. Kama ni muda mrefu umepita kuna uwezekana mkubwa ukawa umesahau idadi ya pakiti zilizobaki na hivyo kuzua ugomvi usiokuwa na msingi.
 
Hapo ndugu frahi kuwa jamaa ana jali lasivyo angekuwa anakwenda kavu kavu ingekuwa balaa.
I never believe in condoms..Niliamua toka mapema sana..And i thank God for that!...Look, finally its working!
 
Mi ntashukuru tu kimyakimya na kujipa moyo na kuendelea na maisha.
 
Hongera zake kuwa alitumia kinga,ila inauma kama kweli alimegwaaaaaaaaaaaa!
 
1.kanisaliti
2.katumia vitendea kazi vya familia,kashindwa kununua huko?
3.Inaelekea matukio yamepigwa humohumo room
4.andharau ,mzembe tena hafai
Tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!,na talaka juu!!
 
utamuuliza kwanza, pengine alipungukiwa na hela ya kununulia mboga akaamua achukue nusu kiboksi cha kondom amuuzie jirani. au pengine panya wametafuna baadhi, kuna condom nyengine zinakuwa na uharufu harufu wa samaki .
sio masihara ,hayo niliokueleza tayari yashawahi kutokea . kuwa makini kabla hujamfikiria mwenzio balaa la uzinifu.

hahahahaha we dawa ya maralia unachekesha
 
.We akikwambia zimetumikautaelewa? au unataka kujua pia kaitumia kwa nani???

hahahahahah ..unajua action huwa zinatokea wakati tukio limetokea ila sasa sijui nijibu nini kama nitashangaa au nitafurahi wametumia kinga

lakini sometimez wanakuwa nazo na hazitumiki
na ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom