Ilikuwa ni vigumu sana kuzisikia nyimbo hizi kwenye minuso na kutopandisha midadi ya kutaka kujimwagamwaga uwanjani nawe ukaonyeshe ufundi wako wa kusakata rumba. Inanikumbusha Tanzania njema kabla haijavamiwa na mapapa mafisadi.
These songs bring back very good memories. Ilibidi nijimwage mwage kukumbuka enzi hizoooo nyimbo hizi zilipotamba sana katika Bara letu na si ajabu duniani kote. Kwenye minuso ya kila aina zikiwemo Harusi ilikuwa ni lazima nyimbo hizi zipigwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.