Zigo la rushwa ya rada kichwani kwa Chenge

Zigo la rushwa ya rada kichwani kwa Chenge

· Kampuni iliyouza yakiri kutumia rushwa
· Ni BAE, yatozwa faini ya dola milioni 400
· Mpira warudishwa kwa serikali ya Tanzania

Kampuni ya British Aerospace (BAE Systems) ya nchini Uingereza iliyoinyonya Tanzania kwa kuiuzia rada kwa bei kubwa kulinganisha na thamani yake halisi, imetozwa faini ya dola za Marekani milioni 400 (Sh. bilioni 535), baada ya kukiri kutumika rushwa katika ununuzi wa rada hiyo.



....
....

CHANZO: NIPASHE

Jamani hivi hawa waandishi wetu kwanini wapotoshaji namna hii?! .....

BTW, majitu yaliyoinyonya Tanzania ni miviongozi yetu misomi lakini mirafi na mibinafsi, iliyong'ang'ania kununua li-rada hilo kwa kukatiwa commission na BAE hali ikijua kabisa kuwa halitufai na lilikuwa linauzwa kwa bei ya ulanguzi!!
 
Back
Top Bottom