NZALAMALENGA
Senior Member
- Nov 18, 2014
- 141
- 24
Very presentable Man.....we must go with him until 2015 at October.
There is no Free lunch in this world.
Hizo zote kama zitajengwa basi zitajengwa kwa mkopo. Nchi karibu zote za EU zina huo utaratibu wa kutoa mikopo ya bei nafuu na kulipa kwa muda mrefu. Nafikiri malipo yatakuwa kwenye asilimia si zaidi ya mbili ambao ni nafuu sana. Pia wakati mwingine unakuwa unaambiwa kulipa kati ya miaka 20 au 30.
Hii safari aliianza PM Pinda na sasa ni muendelezo wa kuangalia jinsi ya kupatikana kwa mkopo huo/msaada na kuanza ushirikiano. Kama mkopo huo ungelitoka Bank ya dunia au kwa akina Ruthchilds, malipo yake ni makubwa sana.
Pichani akiwa na Waziri wa kilimo wa Poland Pan (Mr.) Mareck Sawicki
nielewesheni. wakileta trekta nzima zinatembea ns wakija wakaunganishia uku tofati ni nini? tunataka alete walimu wa technologia ya chuma apa tz. na walimu wa kudizaini japo majembe ya kukokotwa na ngombe. ndio technology sio kuunganisha.
Haya Watalamu wetu mnaohusika hapo jipangeni haraka kiwanda kilete Tija kwa haraka sio kukaa tu utekelezaji miaka 15 ijayo.
Mimi huwa nawashangaa hawa wanaojiita Maengineer mara Watalamu, aibu tupu.
we need to do more acheni kujipigia makofi Kwa usanii. kuunganisha matrector ndo nini? Miaka 60, tunatakiwa tusilale hasa siyo kutafuta misifa.Mzee yupo vizuri Sana. Binafsi nimpongeze kwa juhudi anazofanya. Mungu amtie nguvu na ikiwezekana ashike sola Afande zaidi. nakuombea Wasir
Kwanza waziri hajaleta kiwanda ila amenegotiate jamaa wake
Pili, kuomba Poland waje ni saw a na kuomba Gabon wake, hawajatuzidi kitu... Shame shame kwenda kuhangaika na wachovu
Tatu... Hiyo siasa, itafika October na hakuna kitu
Akiwa waziri, ameangaliaje internal capabilities and potential na kuhakikosha zinakua optimized?
Another political bigotry
Wasira na msafara wake wa maofisa wachache imekuwa yenye tija baada ya kufanikiwa kuweka makubaliano ya Kushirikiana kati ya Tanzania na Poland kujenga kiwanda cha kuunganisha Matrekta hapa Nchini chini ya SUMA JKT
Mpaka 70s Tanzania ilikuwa ina kiwanda cha kuunganisha matrekta, kikataifishwa kuuliwa na kufunguwa na badala yake kikajengwa kiwanda cha majembe ya mkono na Wachina (UFI).
Fikiri, tunauwa kiwanda cha matrekta tunafunguwa kiwanda cha majembe ya mkono!
Inasikitisha sana.
nielewesheni. wakileta trekta nzima zinatembea ns wakija wakaunganishia uku tofati ni nini? tunataka alete walimu wa technologia ya chuma apa tz. na walimu wa kudizaini japo majembe ya kukokotwa na ngombe. ndio technology sio kuunganisha.