Zembwela zuzu

Al shabab

Member
May 21, 2011
71
6
zembwela muda huu ninapoandika hii post yupo east africa radio akiwaponda wabunge wa chadema,akisema labda akina lisu wamekulia ktk mazingira magumu,sasa mbona huyu zembwela jamani hata hafanani na lisu,zembwela kama ana kitu anachomzidi lisu ni umaskini na ujinga,jiangalie wewe zuzu.jina lenyewe tu laonyesha wewe hamna kitu ktk head.
 
Inabidi aseme hayo aliyoyasema ili mkono wake uende kinywani vinginevyo atakufa njaa. hana mbele wala nyuma huyo.
 
Huyo mjinga hakuna hata haja ya kumzungumzia. Ila kama huwa anaingia humu JF, tunamwambia aache kutumia radio kuongelea mambo asiyoyaelewa na kutangaza ujinga!
 
Pro-CDM-JF,wanafurahishana yaani kila mtu mtaani akipingana na hoja za CDM mnakuja kumshtaki humu JF, inashangaza kwa kweli, mitume wa Mungu wenyewe walikuwa wanapigwa sembuse CDM
 
Hata mimi nimemskia, kaniudhi sana! Anacomments kwa mambo hata asiyoyajua, nahii ndio imekuwa tabia yake yakuona kwamba anavyofikiri yeye ndio anafikiri sahihi! Kama vp tumpandie hewan tumchane live
 
zembwela muda huu ninapoandika hii post yupo east africa radio akiwaponda wabunge wa chadema,akisema labda akina lisu wamekulia ktk mazingira magumu,sasa mbona huyu zembwela jamani hata hafanani na lisu,zembwela kama ana kitu anachomzidi lisu ni umaskini na ujinga,jiangalie wewe zuzu.jina lenyewe tu laonyesha wewe hamna kitu ktk head.

Unamaanisha yule zembwela wa MIZENGWE au yupi? Ameajiriwa EAR kuchekesha afu anajifanya much know sana
 
zembwela muda huu ninapoandika hii post yupo east africa radio akiwaponda wabunge wa chadema,akisema labda akina lisu wamekulia ktk mazingira magumu,sasa mbona huyu zembwela jamani hata hafanani na lisu,zembwela kama ana kitu anachomzidi lisu ni umaskini na ujinga,jiangalie wewe zuzu.jina lenyewe tu laonyesha wewe hamna kitu ktk head.
Wewe ndio zuzu maana unatuandikia ili tufanye nini?
Tulie?
Mpigie simu kwenye redio yake na mwambie hivyo huko huko.
 
jamani tujifunze pia na kuheshimu mitazamo ya watu wengine hata kama wako against mitazamo yetu...naomba nimwelezee zembwela jinsi navyomchukulia mimi kwa mitazamo yangu1- anaamini kuwa anawafundisha au kuhamasisha watanzania kuingiza uzalendo kwa nchi na rasilimali zao (hili pia chadema ndilo walifanyalo)2- naamini hataki kabsaaa kusigana na serikali hasa hii ya chama tawala ccm..(kitu ambacho chadema hawakubaliani nacho hata kidogo).. kwa hiyo ni kunguru mwoga/ kibaraka.. coward3- ni mwanaharakati anayeamini kuwa maendeleo au demokrasia ipo mikononi mwa wananchi...(na chadema ndio wanaotumia slogan ya peoples power)... so zembwela naye ni chadema ila tatizo hataki kujulikana maramoja akihofia mkono mmrefu wa serikali dhalimu kutia mchanga kitumbua chake kipya hapo EA-REDIO.NI MTAZAMO WANGU TUU.
 
Ha ha hiyo heading noma! Tukubaliane kila mtu ana mtizamo wake, anachoongelea zembwela n swala la kutoheshimu kanuni. Kukosolewa kupo na ndo mana kila siku tunailaumu serikal ya ccm isiyopenda kukosolewa, so nasi tukubali kupokea mitazamo tofaut sababu kila mtu ana uwezo wake binafsi wa kuona, kutafakar na kutoa maamuzi.
 
Nakushauri juma tatu mida ya saa 3 usikilize kipindi chake cha supamix wakat anajitambulisha ndio utajua y anasema hivyo,hufanya hivo kila siku za kipind chake
zembwela muda huu ninapoandika hii post yupo east africa radio akiwaponda wabunge wa chadema,akisema labda akina lisu wamekulia ktk mazingira magumu,sasa mbona huyu zembwela jamani hata hafanani na lisu,zembwela kama ana kitu anachomzidi lisu ni umaskini na ujinga,jiangalie wewe zuzu.jina lenyewe tu laonyesha wewe hamna kitu ktk head.
<br />
<br />
 
Kwa nini JF Members wanataharuki ukiizungumzia CDM jamani? JF for Chadema?
 
90% ya wasanii wa kibongo ni vibaraka wa ccm,..that's undisputed fact,.wanaona visenti vya kuendea club wanavyopata wamefanyiwa favor sana,..little do they know..kazi zao zinaibiwa sana..acheni ujinga
 
Pro-CDM-JF,wanafurahishana yaani kila mtu mtaani akipingana na hoja za CDM mnakuja kumshtaki humu JF, inashangaza kwa kweli, mitume wa Mungu wenyewe walikuwa wanapigwa sembuse CDM
<br />
<br />
Siku hizi una adabu eeh! Safi sana, kama seif sharif hamad.
 
Sasa aseme nini na Wabunge wa CDM wahuni? mtu mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono walichokifanya labda na wewe unafanana na wana CCM wa mwenyekiti lakini WAsomi tunaagalia Unachokifanya ni sahihi kwa wakati uliopo..Sio kujifanya CDM damudamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom