Zembwela afunika kwenye Mkasi

wapendwa mimi naitafuta kwenye youtube siioni please mwenye kujua tafadhari
 
yeah! kwa upande wangu tangu kipindi cha mikasi kianze Zembwela ndio amenikonga,ana mifano hai japo aliweka u comedian ndani ili kutuburudisha yaani hata kipindi kingekuwa cha masaa mawili kisingechosha big up kijana
 
Hallow, nilikuwa napenda sana utangazaji wake Mr Baruti katika kile kipindi cha Supermix, alikuwa anamfunika vibaya sana huyu Mr Zembwela
Ila siku hizi Baruti hasikiki tena EAradio, sijui kafuma wapi "greener pasture"

Baruti keshawatoka EATV!Kapata kazi mitaa yaposta kama sikosei!
 
Back
Top Bottom