Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Ila watam charge na sheria ipi?
NN:
Bongo wampeleke keko wiki moja tu bila charge atatoka amenyooka. Na kama sio mgumu watu watampigania.
Ila watam charge na sheria ipi?
Ujinga huu bado upo tu?Walinywea baada ya kujua ni mtoto wa 'mwenzao' leo wameamua kumbana na kumrudisha Tz?
Sheria ya Magazeti 1976!!! ha ha ha
duh hiyo itakuwa kali ya karne. sheria ya magazeti inatumika hadi kwenye mitandao?
Welcome to Bongo...duh hiyo itakuwa kali ya karne. sheria ya magazeti inatumika hadi kwenye mitandao?
Malipo ya server alikuwa anafanya kwa credit card yake ya ukweli! Kaazi kwelikweli...Naye alishindwa nini kujisajili anonymously huko aliko?
Malipo ya server alikuwa anafanya kwa credit card yake ya ukweli! Kaazi kwelikweli...
NN, mi sitaki kuongea zaidi... The guy wasn't smart to the extent I expected him to be. Pamoja na kuwa ni mtaalam wa IT lakini alipuuza wengi waliomwambia amechemsha kwa blogging style yake.
Anyway, najua akipata wakili mzuri anashinda kesi (endapo watamfungulia kesi). Ninachojua wataongea na 'mzee wao' amkanye kijana wake ili asichafue jina la familia yao 'kubwa'

Bongo wakikosa sheria wanaweza kukubambika issue chap chap, au hata kuchukua sheria inayofanana fanana na issue yako, kama hiyo ya magazeti inaweza ku apply mpaka kwenye mtandao.
Swali kubwa zaidi ni kwamba, kama servers haziko Tanzania je watakuwa na jurisdiction bila kushirikiana na nchi servers zilipo?
Heading na story havifanani...tetesi original
Baada ya kuongea na wakuu wa ndani wanasema hawajamkamata na wanasema wakimkamata tutafahamu...Hapo sasa kwenye jurisdiction ndipo kuna kasheshe....lakini we know bongo....hakuna cha jurisdiction wala nini....
But I suspect influence ya mdingi ita trump kila kitu
Lakini DEDI wake si aliomba msamaha walipomconfront na dossier zima?
yule mwingine aliopo kule states naona Tangu atembelewe sikuhizi kanywea anapiga ndogo ndogo tu humu
ama kweli serikali ina mkono mrefu duh!
Baada ya kuongea na wakuu wa ndani wanasema hawajamkamata na wanasema wakimkamata tutafahamu...
Naomba tuifunge hii mpaka itapothibitika kuwa kakamatwa, tena isijekuwa ndo tunawarahisishia kazi...
Thank God is no GT!
Baada ya kuongea na wakuu wa ndani wanasema hawajamkamata na wanasema wakimkamata tutafahamu...
Naomba tuifunge hii mpaka itapothibitika kuwa kakamatwa, tena isijekuwa ndo tunawarahisishia kazi...
Basi ukiona hivyo hamna lolote watakalofanya. Gademu