Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
Naye alishindwa nini kujisajili anonymously huko aliko?
Malipo ya server alikuwa anafanya kwa credit card yake ya ukweli! Kaazi kwelikweli...

NN, mi sitaki kuongea zaidi... The guy wasn't smart to the extent I expected him to be. Pamoja na kuwa ni mtaalam wa IT lakini alipuuza wengi waliomwambia amechemsha kwa blogging style yake.

Anyway, najua akipata wakili mzuri anashinda kesi (endapo watamfungulia kesi). Ninachojua wataongea na 'mzee wao' amkanye kijana wake ili asichafue jina la familia yao 'kubwa'
 
Bongo wakikosa sheria wanaweza kukubambika issue chap chap, au hata kuchukua sheria inayofanana fanana na issue yako, kama hiyo ya magazeti inaweza ku apply mpaka kwenye mtandao.

Swali kubwa zaidi ni kwamba, kama servers haziko Tanzania je watakuwa na jurisdiction bila kushirikiana na nchi servers zilipo?
 
Yaani huyu jamaa kweli zuzu!! Utatumiaje plastic yako ya kweli? Yaani alishindwa kabisa kununua id nyingine ili kupoteza lengo...uuuuwiiii....kweli common sense sio common.

Kuna Mnaija mmoja ana majina kama 20 hivi. Labda angejifunza kitu toka kwake
 
Malipo ya server alikuwa anafanya kwa credit card yake ya ukweli! Kaazi kwelikweli...

NN, mi sitaki kuongea zaidi... The guy wasn't smart to the extent I expected him to be. Pamoja na kuwa ni mtaalam wa IT lakini alipuuza wengi waliomwambia amechemsha kwa blogging style yake.

Anyway, najua akipata wakili mzuri anashinda kesi (endapo watamfungulia kesi). Ninachojua wataongea na 'mzee wao' amkanye kijana wake ili asichafue jina la familia yao 'kubwa'

I thought we dare talk open here, gfamilia gani hiyo? Huyu jamaa ana kesi tayari na sehemu nyingi tu ni fair game kumtaja, kwa nini anakuwa protected?
 
Bongo wakikosa sheria wanaweza kukubambika issue chap chap, au hata kuchukua sheria inayofanana fanana na issue yako, kama hiyo ya magazeti inaweza ku apply mpaka kwenye mtandao.

Swali kubwa zaidi ni kwamba, kama servers haziko Tanzania je watakuwa na jurisdiction bila kushirikiana na nchi servers zilipo?

Hapo sasa kwenye jurisdiction ndipo kuna kasheshe....lakini we know bongo....hakuna cha jurisdiction wala nini....

But I suspect influence ya mdingi ita trump kila kitu
 
Lakini DEDI wake si aliomba msamaha walipomconfront na dossier zima?

yule mwingine wetu aliopo kule states naona Tangu atembelewe sikuhizi kanywea anapiga ndogo ndogo tu humu

ama kweli serikali ina mkono mrefu duh!
 
Hapo sasa kwenye jurisdiction ndipo kuna kasheshe....lakini we know bongo....hakuna cha jurisdiction wala nini....

But I suspect influence ya mdingi ita trump kila kitu
Baada ya kuongea na wakuu wa ndani wanasema hawajamkamata na wanasema wakimkamata tutafahamu...

Naomba tuifunge hii mpaka itapothibitika kuwa kakamatwa, tena isijekuwa ndo tunawarahisishia kazi...
 
Lakini DEDI wake si aliomba msamaha walipomconfront na dossier zima?

yule mwingine aliopo kule states naona Tangu atembelewe sikuhizi kanywea anapiga ndogo ndogo tu humu

ama kweli serikali ina mkono mrefu duh!

Thank God is not GT!
 
Baada ya kuongea na wakuu wa ndani wanasema hawajamkamata na wanasema wakimkamata tutafahamu...

Naomba tuifunge hii mpaka itapothibitika kuwa kakamatwa, tena isijekuwa ndo tunawarahisishia kazi...

Basi ukiona hivyo hamna lolote watakalofanya. Gademu
 
Kabisa kabisa kabisa..
 
Basi ukiona hivyo hamna lolote watakalofanya. Gademu

Kama ni raia wa nje ya nchi hakuna sheria ambayo inaweza kumshitaki kwa sababu burden of proof iko kwa serikali yetu ambayo mpaka leo inaendeshwa kwenye kesi ya Liyumba na bila kusahau mazingaombwe yaliyofanyika kwenye kesi ya DIBAGULA

Isipokuwa zipo ways and means za kumuuma kwa sababu wigo ni kubwa tuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom