Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
Bora fedhuli huyo amekamatwa, alikuwa akidahlilisha sana watu. Watu wengine walikuwa wakiingia humu kuangalia kama wametoka na sio kwamba walipenda hayo madudu. Ile manupulation ya picha ya rais iliniuma sana, maana kumdhalisha rais wako kiasi hicho ni kulifedhehesha taifa zima. Hivi kama yy aliamua kuchukua uraia wa UK, ya bongo yalikuwa yanamhusu nini? si angejihusisha na hayo ya kwao.....ndio maana huwa napata matatizo na mtu anayekana uraia wake na kuchukua uraia wa nchi nyingine...kifupi anakuwa haipendi nchi yake....hana uzalendo hata chembe...ndio maana jamaa akaamua kuifedhehesha Tz yote kwa kumdhalilisha rais.

Poleni wote mliopatwa na matatizo ya huyu mwehu.

Na hii slogan "Where We Dare Talk Opnenly!" imekuwa kinyume, Invisible amekuwa akijiuma uma! Tunaheshimu kazi yako Invisible, lakini hii thread imenifanya ni "dare" kuku tilia wasiwasi.
 
Acha Ushamba. Unaonekana una donge sana na choka mbaya. Vumbi kali sana nini? Fanya kazi na acha roho korosho. Lowassa na Mkapa (Anna) hawajabadilisha uraia. Liyumba, na kundi lake pia wana uraia wa Tz tu na wameleta hasara kubwa zaidi ya huyu Lusinde (mtani wangu).

Haina uhusiano wowote wa mtu kufanya haya madudu na kuwa na raia wa nchi mbili. Sasa wakiibuka walio na uraia wa nchi moja na huku asili yao ni Watz, na huko wanakuja kama watalii, UTAFANYA NINI? Mmemshangilia Obama wee unafikiri wote watakuwa kama Obama? Hata nje ya Tanzania ni kama Bongo, kuna WABAYA na WAZURI. Nakubaliana na Mkapa kuwa kuna Mitanzania ina WIVU WA KIJINGA.
 
Ukiangalia thread nzima utagundua yafuatayo.

1. Jamaa ni Muingereza mwenye asili ya Tanzania. Kwa sasa alishaukana (automatically) uraia wa Tanzania na kwa vile Tanzania hatuna dual citizenship, ndo hivyo tena siyo mtanzania tena. Hata kama alikuwa na passport ya bongo (maana watoto wa wakubwa ndo hivyo tena..ni tofauti na akina Masanja)

2. Kosa limefanyika nje ya Tanzania ingawa "walioumia" ni watanzania je sisi kama watanzania/serikali yetu tutamhukumu kwa jurisdiction ipi?

3. Ok Tanzania tunaweza kuomba jamaa aje kujibu mashataka mbele ya "victims wake" assume wapo (kumbuka Wema Sepetu alipoteza masomo kwa ajili ya Ze Utamu-lol)..lakini katika hili lazima tuwe na extradition treaty (Tanzania na UK tunayo) lakini ni kwa makosa specific tuu. Na kwa hapa hili kosa halipo! na hata kama lingekuwepo..UK inaweza kumhukumu kwa sheria zake...kama anakosa..Maana waao wako too advanced kwenye hii nyanja!

4. Je jamhuri yetu haioni kwamba imetoa hii info. mapema sana? inaweza kuaibika yenyewe..na kibaya zaidi serikali ikibanwa na sheria....wananchi wataigeuzia kibao kwamba inafanya double standard kwa sababu jamaa ni mtoto wa mkubwa!

5. La mwisho I do wonder whether our governement has lawyers. Hata tungetaka kumshtaki..lazima UK ihakikishe kwamba jamaa "atatendewa haki.."sasa jamani hata sheria ya cyber crimes hatuna (sijui kama imeshapitishwa)...utamshtaki kwa kutumia ile sheria archaic ya magazeti ya mwaka 1976? Ni lawyer gani atakubali ile sheria ya "kipuuzi"..only lawyers in bongo!

In conclusion, ukiangalia kwa umakini mawazo ya wengi kwenye hii thread..utagundua ni kwa nini CCM wanatuchezea akili..wasomi kwa wakulima....kwa sababu we get excited bila ku-read between the lines. Bila audacity mtu anakuja hapa eti Ze utamu adakwa? do you know what you are talking about?

Jamaa hapa hana kesi..na akipata lawyer mzuri (of which I know atapata)..Serikali yetu itadaiwa pesa nyingi..sadly tutakaolipa ni sisi wavuja jasho.
 
Bora fedhuli huyo amekamatwa, alikuwa akidahlilisha sana watu. Watu wengine walikuwa wakiingia humu kuangalia kama wametoka na sio kwamba walipenda hayo madudu. Ile manupulation ya picha ya rais iliniuma sana, maana kumdhalisha rais wako kiasi hicho ni kulifedhehesha taifa zima. Hivi kama yy aliamua kuchukua uraia wa UK, ya bongo yalikuwa yanamhusu nini? si angejihusisha na hayo ya kwao.....ndio maana huwa napata matatizo na mtu anayekana uraia wake na kuchukua uraia wa nchi nyingine...kifupi anakuwa haipendi nchi yake....hana uzalendo hata chembe...ndio maana jamaa akaamua kuifedhehesha Tz yote kwa kumdhalilisha rais.

Poleni wote mliopatwa na matatizo ya huyu mwehu.

Na hii slogan "Where We Dare Talk Opnenly!" imekuwa kinyume, Invisible amekuwa akijiuma uma! Tunaheshimu kazi yako Invisible, lakini hii thread imenifanya ni "dare" kuku tilia wasiwasi.

Mkuu, hapa tupo ukurasa mmoja,

nadhani anafanya hata lile suala tata la uraia wa nchi mbili kuwa gumu zaidi, kama kuukana uraia wa Tanzania na kisha kuendelea kuwa 'mtanzania' ndo kunaweza kufanya mambo kama haya ya zeutamu.......
 
Kwa kweli kuna watu humu sikudhani hata siku moja kama watakuja kumuogopa mtu.Mtu kama invisible,NN,GT are always firm.Katika thread hii mmekuwa tofauti kabisa.any way binafsi nawaomba pindi mtakapo ona ni wakati muafaka mtuambie mlikuwa mnaogopa nini labda tutawaelewa.
 
Tarehe 7th October 2008, Saa 04:24 PM kaka/dada Invisible aliandika hivi:

Leo nimeamini kweli lisemwalo lipo

Tina, ilikuwa si rahisi kwa wakati huo watu kunielewa, nadhani sasa nimeeleweka japo naambiwa Daring to Talk Openly ni kuandika kila kitu moja kwa moja. Ikumbukwe kuwa wakati huo ndio alikuwa anajiweka sawa upya, baada ya kuachiwa mzigo na mkuu Shigongo.

Na hii slogan "Where We Dare Talk Opnenly!" imekuwa kinyume, Invisible amekuwa akijiuma uma! Tunaheshimu kazi yako Invisible, lakini hii thread imenifanya ni "dare" kuku tilia wasiwasi.
Mkuu kwa wakati ambao tayari polisi walikuwa na mtuhumiwa mikononi, tayari walishapata tetesi zote na kuzifanyia kazi na kufanikiwa kumpata ulitaka niandike Peter Lusinde Malecela anahusika na Utamu moja kwa moja?

Unajua, issues za mambo ya online ni tofauti sana na mambo ya offline au print media. Ukiandika palepale inakuwa ishasomwa hata ukiifanyia editing lakini kuna walioinyaka, inahitaji proof na sikuwa tayari kufanya hivyo kwa wakati huo, nilidokeza kuwa mhusika yupo UK na tena nilimwonya hapahapa JF kuwa anachofanya kina gharama kubwa kwa kwake na kwa Taifa let, email yangu japo hakui-paste kwenye blog yake aliichukulia simple na hakunijibu.

Ni kweli, kumchora rais si jambo zuri lakini swali ni je, ni JK peke yake kachorwa? Kina Bush na wengineo si marais? Hawa mbona hawajawahi kupoteza muda 'kupambana' na waharifu wa aina ya Peter?

Ni kweli, kwa utamaduni wa mtanzania alichofanya Peter kilikuwa kinalidhalilisha taifa, lakini kwanini kipindi chote mlicholalamika hapa JF kuanzia hapa kwenda hapa mpaka hapa hakikuchukuliwa hatua mpaka waguswe?

Ni ngumu kueleweka haraka, inahitaji kufikiria tu...
 
William Malecela ya kweli haya? Nduguyo alikosa adabu hivyo au vipi? Mimi nilifikiri "nobility" yetu ingefanya better than this, especially the Lusinde-Malecelas ambao largely wame stay scandal free.Kama ni kweli nini kinamsibu mpaka kujihusisha na hii enterprise ya aibu? Alikosa shughuli ya kufanya au uhayawani tu?

Au anakuwa set up tu? Maana watu wanaweza kumzushia mtu kitu tu, kama kazushiwa tunategemea maelezo ya kumsafisha yatolewe, hasa kwa sababu kuna nduguye ni prominent member humu.Kutotoa ufafanuzi kutakuwa ni sawa na kukubali kwamba anahusika.

Katika disappointment zote za "wakubwa" wetu sikutegemea kituko kama hiki, hata kwenye debauchery haiko ni sheer lunacy.

Whither "Noblesse Oblige" ?
Mkuu,

Usilaumu familia yote, huyo ni mtu mzima na kafanya madudu yake, kalikoroga na wacha alinywe.

Kwenye kila familia hakukosekani wajinga au wanaojifanya wajanja zaidi.
 
Mkuu, hapa tupo ukurasa mmoja,

nadhani anafanya hata lile suala tata la uraia wa nchi mbili kuwa gumu zaidi, kama kuukana uraia wa Tanzania na kisha kuendelea kuwa 'mtanzania' ndo kunaweza kufanya mambo kama haya ya zeutamu.......

Hili ni gumu kwa akina Masanja tu, ila kwa watoto wa wakubwa ni RAHISI sana na wana PASSPORT mbilimbili au tatutatu. Tuseme uko nje, unaukana ubongo. Unarudi Tz na kuchonga pass mpya. Hivi ni shida kuchonga pale pass? Ukikwama Bongo, si unaenda hata Rwanda/Burundi kama siyo Kenya na Uganda? Pia kama mtu kaweza kuchukua Uraia wa UINGEREZA, wa Tanzania utamshinda? Mnaongelea nini hapa? Kama watu waliweza kwenda BoT na kuchota pesa, itakuwa Pass? Hebu fikirieni mara mbili kabla ya kuandika. Nalaani sikuomba URAIA wa Gabon nilipopita kule.
 
Mkuu,

Usilaumu familia yote, huyo ni mtu mzima na kafanya madudu yake, kalikoroga na wacha alinywe.

Kwenye kila familia hakukosekani wajinga au wanaojifanya wajanja zaidi.

Lakini katika hiyo picha hapo juu jamaa anaonekana innocent kinoma,ukikutana nae wala uwezi kumdhania.
 
Wewe unayesema ushirikiano wa shigongo na huyu kijana fikiria jambo lifuatalo kamanda kova wiki iliyopita alienda kwa shigongo kufanya nini kama sio kukubaliana kuhusu kijana huyu au wale wote wanaohusika nae jambo lingine angalia upande wa technologia niliwahi kubandika kitu fulani kuhusu the utamu address yake ( mmoja wa watu anayetumia email ya utamu ) alituma email fulani tokea san diego hivi vyote vinaweza kutumika kama ushahidi
 
Hili ni gumu kwa akina Masanja tu, ila kwa watoto wa wakubwa ni RAHISI sana na wana PASSPORT mbilimbili au tatutatu. Tuseme uko nje, unaukana ubongo. Unarudi Tz na kuchonga pass mpya. Hivi ni shida kuchonga pale pass? Ukikwama Bongo, si unaenda hata Rwanda/Burundi kama siyo Kenya na Uganda? Pia kama mtu kaweza kuchukua Uraia wa UINGEREZA, wa Tanzania utamshinda? Mnaongelea nini hapa? Kama watu waliweza kwenda BoT na kuchota pesa, itakuwa Pass? Hebu fikirieni mara mbili kabla ya kuandika. Nalaani sikuomba URAIA wa Gabon nilipopita kule.

Mkuu Sikonge,

I can understand your frustrations kwenye hili, lakini pia nikijua uazalendo wako kwa wanatabora hususan Sikonge, nachelea kusema wasingekuelewa nduguzo wa Sikonge....na ndio maana hukukumbuka kufanya hivo!
 
Siyo frustrations. Unajua sisi Wanyamwezi na MITARA ndiyo wenyewe. Sasa kama unaanya MITARA hadi kwenye uraia, ni safi sana. Ndiyo maana Wahenga wetu walisema "Wa mbili havai moja...."
 
In conclusion, ukiangalia kwa umakini mawazo ya wengi kwenye hii thread..utagundua ni kwa nini CCM wanatuchezea akili..wasomi kwa wakulima....kwa sababu we get excited bila ku-read between the lines. Bila audacity mtu anakuja hapa eti Ze utamu adakwa? do you know what you are talking about?

Jamaa hapa hana kesi..na akipata lawyer mzuri (of which I know atapata)..Serikali yetu itadaiwa pesa nyingi..sadly tutakaolipa ni sisi wavuja jasho.
Du Mkuu, CCM nayo inahusika kwenye ze utamu!!!
Lakini hata kama inahusika, kama sisi wenyewe ndio tunashindwa kusoma between the lines, ndio tuilaumu CCM au mwingin yeyote for that matter?
Kuhusu kuandika hapa kuwa ze utamu kakamatwa, kwa ni uongo, kakamatwa kweli lakini kukamatwa na kesi ni vitu viwili tofauti. kwa hiyo, kwa kuwa umeshatujaji kuwa tunakuwa excited bila kusoma katikati ya mistari, acha tusherehekee kukamatwa kwake... baadaye ndio tutaanza kujiuliza hatima yake itakuwa nini. But, if you were also reading between the lines, naamini ungeshakuwa umekutana na posts zinazoeleza what is the possible aftermath of the whole saga
 
Tina, ilikuwa si rahisi kwa wakati huo watu kunielewa, nadhani sasa nimeeleweka japo naambiwa Daring to Talk Openly ni kuandika kila kitu moja kwa moja. Ikumbukwe kuwa wakati huo ndio alikuwa anajiweka sawa upya, baada ya kuachiwa mzigo na mkuu Shigongo.

Mkuu kwa wakati ambao tayari polisi walikuwa na mtuhumiwa mikononi, tayari walishapata tetesi zote na kuzifanyia kazi na kufanikiwa kumpata ulitaka niandike Peter Lusinde Malecela anahusika na Utamu moja kwa moja?

Unajua, issues za mambo ya online ni tofauti sana na mambo ya offline au print media. Ukiandika palepale inakuwa ishasomwa hata ukiifanyia editing lakini kuna walioinyaka, inahitaji proof na sikuwa tayari kufanya hivyo kwa wakati huo, nilidokeza kuwa mhusika yupo UK na tena nilimwonya hapahapa JF kuwa anachofanya kina gharama kubwa kwa kwake na kwa Taifa let, email yangu japo hakui-paste kwenye blog yake aliichukulia simple na hakunijibu.

Ni kweli, kumchora rais si jambo zuri lakini swali ni je, ni JK peke yake kachorwa? Kina Bush na wengineo si marais? Hawa mbona hawajawahi kupoteza muda 'kupambana' na waharifu wa aina ya Peter?

Ni kweli, kwa utamaduni wa mtanzania alichofanya Peter kilikuwa kinalidhalilisha taifa, lakini kwanini kipindi chote mlicholalamika hapa JF kuanzia hapa kwenda hapa mpaka hapa hakikuchukuliwa hatua mpaka waguswe?

Ni ngumu kueleweka haraka, inahitaji kufikiria tu...

Mkuu ni kweli kabisa, wakati mwingine ni vema kujiuliza maswali ya msingi zaidi.

Hatupo hapa kuchomana bali kuwekana sawa pale palipo pindika.

Mimi kama mimi bado ninauhakika kabisa kwamba posts na picha nyingi zilizokuwemo ndani ya zeutamu si yeye Peter pekee aliyezitengeneza na kuzituma..!

Tunachoweza kumb´ana Peter ni kwamba :::Kwanini Picha au posts nyingi alizipitisha yeye ? I mean kama own wa site kwanini alikubari na kuruhusu watu kuitumia web site yake vibaya na kutuma yale madudu ?

Swali nalohitaji sisi kujiuliza ni .....Mr Peter kwenye web site yake ya zeutamu ni yapi masharti aliyoweka ktk kuitumia site ile ?

Kwasababu uwezekano wa kuwa na web site ni kitu cha kawaidia kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kuilipia na kufuata masharti ya wale waliompatia ile service.

Ktk website hiyo the owner akaitengeneza kwamba, kunasehemu ambazo mtu anaweza kutangaza biashara zake , au kutangaza shughuli zake binafsi kwa kulipia kidogo au hata bure endapo mwenye site masharti yake moja wapo ni
free users na ni ruhusa kwa mtumiaji kupost picha ya aina yoyote au kutangaza biashara ya aina yoyote ile.

Na hilo ndio jibu pekee ambalo lita mkomboa au kumtoa midomoni mwa wanafiki wenye kudhani mkuki kwa Nguruwe ni haki yake,ila waguswapo wao maumivu ..!

Posts na picha zilizo nyingi ndani ya website zeutamu zimetumwa toka Tanzania kwenda kwenye Site ya Zeutamu , na ukweli usiopingika Mr Peter sie aliyekuwa anazunguka mitaani na kukusanya picha za matusi na kuweka kwenye site yake .
Na jibu la kesi yake lina bakikuwa pale pale, Nini masharti ya matumizi ya website yake ? FREE USERS NO MASHARTI..!!!! Anaweza kuwageuzia kibao na kushinda kesi na wakamlipa..!!!!
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom