Ze Comedy: Enjoy

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
[video=vimeo;8601309]http://vimeo.com/8601309[/video]
 
Hi wana jamiiforum
nawaamkueni kwa Upendo wote,
mie ni mgeni hapa kwenye mijadala, natarajia kuvuna mengi hapa hasa kipindi hiki cha kuelekea GE2010.
Asanteni
 
dr.pimbi kwanza big up kwa avatar kali maana natumaini ni wachina hao hawana muda wakunahiii
Conquest-ukwaju chachandu au juice
 
Akili kukichwa! Mbona yapo ya kipuuzi mnayoyashangiria humu! Bravo ulietutumia wasiotaka wasifungue, hata wakifunguwa wanaenjoy hao lakini kuna watu kwao kila kitu choyo cha roho!
 
is people wasting their time to watch this crap??
mkuu, labda utuelimishe ni comedy gani unayodhani siyo crap! kumbuka we are different, with different interests and taste... i may not be ze comedy fan, but that wouldn't degrade anyone who is watching that, especially by telling them that watching the comedy is a waste of time.

wacha wafanye kazi, maana wangekua wezi tu mitaani
 
Kwakweli Bongo tuna ukame was entertainment. Yaani hii nayo jamani ni funny!! THIS IS ABSOLUTELY TOTAL CRAP?? I wonder why people waste their time watching upuuzi huu which aint funny at all...!
 
unajua hadi watu wa nchi zingine wanatucheka kwa ushamba na kutojua kuigiza kwa hawa jamaa, wanaaibisha taifa, wanaharibu watoto wetu, kwa kifupi ni uchafu, sipendi hata kuwaangalia. mara nyingi inapendwa sana na watu malayamalaya, watu wanaopenda uswahiliswahili mambo ya mtaaniiiii, kama kuna mtu humu anapenda kuwaanglaia hawa jamaa, wengine anataka hadi kugonga watu barabarani anakimbilia hicho kipindi, ujue kuwa una pepo, tena pepo chafu mahaba, jini sijui,ule mchezo wao uko controlled na pepo mahaba, uchafu wa shetani.
 
Back
Top Bottom