Ze Comedy: Enjoy

Mbona mnatukana watu humu????. Hii ni kazi kama kazi nyingine na ni vizuri kuonyesha heshima kidogo. Kwa mfano, sitopendezwa kama mtu atalnionyesha dharau kwenye kazi yangu hii ya kuzibua mitaro na vyoo.
 
hata prostitution Ulaya ni kazi kama kazi zingine tu mkuu, na inalipiwa kodi, ponography Italia inalipiwa kodo kama kawaaida, so si kila kazi ni nzuri mbele za watu na mbele za Mungu. si kila kazi ina faida, hasa hizi zinazofanyika kwenye media, zina athali kubwa sana kwasababu zinatazamwa na watu wengi, hivyo na madhara yake ni kwa watu wengi, so we are concerned about it and it is our business kwasababu ni watoto wetu wanaodhurika na uchafu wao.
 
Back
Top Bottom