Mjomba ana-enjoy (video)

Mjomba is having it all 😂😂😂
Nimecheka sana.

Mnaoleta fikra mbaya acheni, mjomba kafurahi kupitiliza kajiachia.
Wimbo wenyewe una ujumbe tosha, acheni watu wafurahi.
Kundecha anasema "Mtu akijiweka ktk Mazingira ya kutiliwa Mashaka, basi asiwalaumu watu watakaomdhania vibaya" Huyu Mjomba huyu... ana kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom