Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

Habari wakuu!
Baada ya JK kwenda kwenye ziara nchini Oman, alitunukiwa zawadi ya upanga wa kivita kama ishara ya kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi Mbili ktk maswala ya uchumi.
But in real sense zawadi hiyo haina maana halisi juu ya kile kilichosemwa kwamba ni ishara ya kujenga uhusiano, Pia imezidi kuacha maswali mengi kwa majority of christians kwamba huenda ni maandalizi ya the so called "kuendeleza dini kwa ncha ya upanga"
Nasema haya kwa sababu leo hii nimepita katika makanisa zaidi ya 5 na hii ndo imekuwa habari ya mjini na watu wakihamasishwa kufanya maombi juu ya hili swala.

My outlook!
Nahitaji kwa anayejua juu ya ukweli halisi juu ya zawadi ya upanga so as to make it clear.

Hii mbegu ya udini sijui itawatoka vp tuu!!!! Yaaani mpak mtu anadiriki kusema uongo basi tu kuweka mazingira ya udini.... How come wewe mtu mmoja upite kwenye makanisa zaidi ya Matano na yote katika muda wa Ibada na wawe wanaongelea same issue???? Au ni wewe ndo ulikua unaeneza kwa uliokutana nao??? Grow up C*ck sucker...!!!
 
Nani asiye jua kazi ya upanga/ jambia nini kwa waislam? Mimi ni muislam lakini kwa hali ya sasa ilivyo, na kwa jinsi mkulu alivyo kuwa akiutaja na kuupazia sauti udini, si afiki zawadi hii aliyo pewa. Kwa nini wasimpe tende/ haluwa au kikombe cha gahawa? Au hata kilemba au musuli/kikoi? Lazima tuwe na maswali ya kujiuliza kwa hili!!!!!!
 
ameshasema kua anataka watu wa oman waanze kupewa uraia wa tanzania so kapewa panga aje apunguze wananchi wa hapa hasa wa imani tofauti ili kuendeleza dini zao...naomba chadema mkichukua nchi 2015 hilo panga muwarudishie oman...hatulitaki hapa sana sana linatuongezea nuksi tuu
 
Je ukatoliki kule amerika ya kusini ? umeenezwa kwa amani ?

Sie tunazungumzia ukristo mwenzetu unaongelea ukatoliki, wapi na wapi. Hamyaelewi mambo ulizeni mtafahamishwa. Yesu hakuja duniani kuleta ukatoliki, alikuja kuleta wokovu.
 
Tunajadili JK kupewa Jambia na Sultani,mbona akienda Mbulu Au Umasaini amekuwa akipewa Jambia na mkuki hilo hatulioni?
 
tusipende kuayakuza mambo ata kama hayako hivyo, mbona tunaishi kwa amani tu miaka nenda miaka rudi, sisi wenyewe ndiyo tutaharibu, kila kitu udini tu, mimi ni muislam, wewe ni mkristo, wapi shida, nenda kanisani kasali, naenda msikitini kasali, wazazi wako wangekuwa wangu, na wangu wako ingekuwa wewe muislam na mimi mkristo, tatizo wapi, tumeubwa hili tuishi, tupendane na kuheshimiana. tupendane jamani haya mambo ya udini manayakuza wenyewe, mbona wamasai wana mapanga kibao.
sina amani kwa sababu sijui zamu ya kanisa langu kuchomwa moto na jamaa fulani wanaoitwa wahuni wakati si wahuni,ukiondoa tukio la mbagala,je zanzibar mwanza na kwingineko ilikojolewa quran?
 
tatizo sio zawadi ila maana ya zawadi kwa anaekupatia zawadi hiyo,ninavyofahamu upanga hauna ishara ya amani hata kidogo,ningeelewa nia njema ya mwarabu yule kama angetoa zawadi ya tende au halua,basi japo kikoi kama chakula kinaharibika.
 
Dah nawewe hatari yaani makanisa yote matano umewakuta wahusika wanaizungumzia hiyo habari?sijui ulijigawaje wewe!
 
yaanI ndio nimeamini kuwa Hata makanisa yanashiriki kwa fujo hizi.mtu anaona sawa kuwaambia wauminu wake kuwa Ile zawadi ni upanga wa kuleta vita alafu unajiita msomi hebu tuheshimu, tusome Mila Za watu wengine.

upanga huo kwa waarabu wa Yemen na Oman nI ishara ya mtu mwenye heshima au kiongozi wa watu fulani.
kama hiyo ndio maana yao basi hawana akili na ndio maana wakawa waarabu.UPANGA IWE ISHARA YA HESHIMA?? kweli tamaduni zingine ni za kijinikijini sana.sisi tusiche kusali na kuombea amani nchi yetu na dhaifu amalize muda wake aondoke na waarabu wake.hiyo ndio zawadi ya kupokea kweli? NYERERE LAZIMA ANGEKATAA.
 
Habari wakuu!
Baada ya JK kwenda kwenye ziara nchini Oman, alitunukiwa zawadi ya upanga wa kivita kama ishara ya kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi Mbili ktk maswala ya uchumi.
But in real sense zawadi hiyo haina maana halisi juu ya kile kilichosemwa kwamba ni ishara ya kujenga uhusiano, Pia imezidi kuacha maswali mengi kwa majority of christians kwamba huenda ni maandalizi ya the so called "kuendeleza dini kwa ncha ya upanga"
Nasema haya kwa sababu leo hii nimepita katika makanisa zaidi ya 5 na hii ndo imekuwa habari ya mjini na watu wakihamasishwa kufanya maombi juu ya hili swala.

My outlook!
Nahitaji kwa anayejua juu ya ukweli halisi juu ya zawadi ya upanga so as to make it clear.

Mkuu sioni kama una kosa kubwa kiasi cha kushambuliwa hivyo.Nilichokuelewa ni kuwa ulitaka ufafanunuliwe maana ya hiyo zawadi ya upanga.Haifichiki zawadi huwa inadiskasiwa ili kutafuta maana na reflection kwa mtu ataeipokea.Haiwezekani kuwa imetolewa bila maana yoyote.So jitetee vizuri JF sio pa kuwa mwoga HAWATAKUCHAPA kila mtu yupo kwake na PC/Simu yake wakichangia mada hii.
 
Hilo anapeleka kwao Msoga la kuchongea mihogo na kulia maembe akistaafu urais wala lisiwape shida. Muda huu si wakueneza dini bali ni kutafuta pesa kwa ajili ya maisha bora, Akilitumia kuenezea dini hawezi kufanikiwa hata mtaa mmoja, maana atakua ameshajinjwa mwenyewe kwa upanga huo.
 
Uislamu ulienezwa kwa njia ya upanga angalia historia ya kuenea kwa dini ya kislamu duniani.Naye amepewa jukumu hilo kwa Tanzania.

Nyinyi hamko Tz ndio mnaoleta chokochoko hizi, pakiripuka tutaumia sisi walalahoi , Mapadri, Mashemasi , Maaskofu wanakimbizwa ulaya . Nyinyi huko mnabaki na maboksi yenu,jioni mnakunywa bia miguu juu na nyama za kuchoma kwenye ma-grillers yenu.

Kule Congo ya Zaire yaliwahi kutokea haya mavurugu ya dini, wale viongozi wa kanisa waliolianzisha walikimbizwa haraka Belgium wakiwaacha kondoo wakichinjwa na kuteketea , Lazima tuwe macho na hizi fitina za kidini
 
Habari wakuu!
Baada ya JK kwenda kwenye ziara nchini Oman, alitunukiwa zawadi ya upanga wa kivita kama ishara ya kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi Mbili ktk maswala ya uchumi.
But in real sense zawadi hiyo haina maana halisi juu ya kile kilichosemwa kwamba ni ishara ya kujenga uhusiano, Pia imezidi kuacha maswali mengi kwa majority of christians kwamba huenda ni maandalizi ya the so called "kuendeleza dini kwa ncha ya upanga"
Nasema haya kwa sababu leo hii nimepita katika makanisa zaidi ya 5 na hii ndo imekuwa habari ya mjini na watu wakihamasishwa kufanya maombi juu ya hili swala.

My outlook!
Nahitaji kwa anayejua juu ya ukweli halisi juu ya zawadi ya upanga so as to make it clear.

SICK... Wakati anapewa UPANGA na SULTAN Zanzibar halafu Tanganyika - POLISI walikatwa katwa na UPANGA au MAPANGA... HII INAMAANISHA kapewa SILAHA ya kukatana MAPANGA???
 
Panga kwa nchi za kiarabu mtu hupewa kama shujaa, ikiwa amefanya jambo jema na lenye manufaa kwa jamii hizo nyingine zote ni porojo.
 
Afu hapa JF isiwe sehemu ya kila mtu kuleta anachojiskia and then we dare to talk openly,my foot.! Pamoja na ukristo wangu napinga sana mtazamo wa namna yako. Tunatofautiana perception,do you care about how many you've misled with this post of yours?
 
ondoeni hofu upanga si tatizo bali matokeo ya kazi yake. ni vizuri tukatafiti utamaduni wa upanga kwa hao walotoa zawadi kabla kuhofia kivuli. Mbona mnapishana na ma SMG ya askari kila siku barabarani hamyaogopi?
Dunia tuendayo si dunia ya udini ni dunia ya ushindani wa kiuchumi unaowezeshwa na teknolojia. akili ni silaha kubwa kuliko upanga. tafuta maarifa.
 
Kikwete ni mtu wa kawaida katika masuala ya dini. hajawahi kuonyesha dalili za udini navofahamu mimi
 
Back
Top Bottom