Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

kweli wewe ni janga kuu, kuna hoja gani ya kujibiwa hapa?
Kasome tamaduni za oman ujue maana ya upanga then urudi tena.

Endeleeni kupandikiza chuki, siku likitibuka hamna atakae salimika.

Mnawalaumu waislam juwa wanalalamika kila kitu kumbe na nyie ni walewale.

Kaka hata mimi ni mwislam nilitaka nijue tu,nimekusoma mkuu ,nashukuru kwa kunielewesha maana ya upanga,kumbe ni jadi za kiarabu!!!!asante mkuu usinielewe vibaya kwa kuuliza that question!
 
Naona unajua unachozungumza kweli ! sasa unataka kusema kuwa hakuna ukatoliki ? au je hao sio wakristo ? au wao duni kuliko waangelikana au wasabato ?
Je katika makundi hayo yote nani hasa anamfata yesu ? nipe mwongozo ndugu....
 
Toa huu uzi hauna mshiko.....Kanisa alina mda wa kujadili zawadi aliyopewa Mh Rais,Muogope mungu kwa kumshirikisha na uwongo kitu mbaya kinaweza kukutokea na ukaja kujuta
 
hii tanzania ishakuwa ya wendawazimu sasa kwan upanga ndo nn??? Achen kutafsiri ujinga na siku akienda kwa papa akipewa zawadi ya fimbo tuseme nchi inaletwa ktk ukristo jaman hachen kla jambo kutaka kutafsiri ile n zawad tu
 
promi demana ...ziara ya kikwete Omani imewauma sana baadhi ya watu...
Kikwete angekuwa amekwenda Israeli tungesikia sifa kede kede akimwagiwa JK...

Msikilize Nabii Issa (AS) anasemaje hapa
"Do not think that I came to bring peace on earth. I did not come to bring peace but a sword!".
(Matthew 10:34)
 
Jamani tusipokuwa makini hapa JF tutakuwa wadini tena wa kutupwa, ni ishara mbaya sana kutazama kila jambo kwa jicho la kidini. Ule upanga alipewa ni Ishala na heshima ya kiongozi kwa mira za watu wa Oman. Haina uhusiano wowote na udini. Na wala JK sio wa kwanza kupewa upanga. Siku nyingine mtu ukitaka kuja na uzi wenye hoja kama hii lazima usome na kufanya utafiti kujua marais wengine waliotembelea Oman walipewa zawadi gani? Na alivyokuja yule kiongozi wa Sahara Magharibi na kumpa JK vazi linalofanana na Janjaweed wa Sudan ingekuwa leo mngesema haya haya. Tuwe makini na michango yetu hapa
 
nani asiye jua kazi ya upanga/ jambia nini kwa waislam? Mimi ni muislam lakini kwa hali ya sasa ilivyo, na kwa jinsi mkulu alivyo kuwa akiutaja na kuupazia sauti udini, si afiki zawadi hii aliyo pewa. Kwa nini wasimpe tende/ haluwa au kikombe cha gahawa? Au hata kilemba au musuli/kikoi? Lazima tuwe na maswali ya kujiuliza kwa hili!!!!!!

rip chadema
 
Ile jezi je ataleta ukatoliki kwa njia ya mipira acha hizo fikiria ya maana nashangaa tena wanajifanya wasomi

kaka fikiri kiana, ni mida karibu na makabidhiano hayo mara tu mavurugu yasiyo na maana! huoni kuna muunganiko?
 
Back
Top Bottom