Yeye anapenda nini?
RR na Driller sio kila mtu anapenda vidani na cheni.
Yeye anapenda nini?
RR na Driller sio kila mtu anapenda vidani na cheni.
umejuaje? ye ni mweusi.mpenzi wako ana rangi gani..? kama ni light color mpelekee cheni ya gold kama ni black kama mimi mpelekee ya silver lakini isiwe mchina maana atakutoa nayo nduki coz ninavyohisi wewe ni wa musoma....! kuna lingine labda....?
Jipeleke wewe mwenyewe ukiwa mzima na salama salimini, kama upo kama 'ulivyotoka' ni zawadi kubwa zaidi
da mmenifurahisha sana....cha ajabu sijajua kuwa huwa anapendelea nn.kwan cna mda nae mrefu sana zaidi huw ninakuwa masomoniYan wewe unaangalizia hadi koment za jf? Umeshaangalizia mitihani weeeeeee
c unaona mi nitaenda..nataka kingine cha zaidi.Jipeleke wewe mwenyewe ukiwa mzima na salama salimini, kama upo kama 'ulivyotoka' ni zawadi kubwa zaidi
Ni vizuri akamchunguza mwenyewe.Nilitaka kumshahuri ampelekee saa au perfume nzuri ila nikaona kumbe mwanafunzi...
Anyway, I get your point...
Boksi la lady pepeta litamfaa zaidi.
ndio maana tf anajaribu kila njia kukupata ila unaweka pozi..! ndio maana huna mpenzi...! twende.. twende..twende.. kichwa kammmmma... ilooooooo:eyebrows:Yeye anapenda nini?
RR na Driller sio kila mtu anapenda vidani na cheni.
Inahusu. . . . ?ndio maana tf anajaribu kila njia kukupata ila unaweka pozi..! ndio maana huna mpenzi...! twende.. twende..twende.. kichwa kammmmma... ilooooooo:eyebrows: