zawadi gani nzuri

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
jamani mm natokea masomoni.ntafka kwetu ck ya jumatano....najiuliza nimpelekee zawadi gani mpenzi wangu wa kike ambayo ataiona ni nzuri kwake? nishaurini jamani......
 
mpenzi wako ana rangi gani..? kama ni light color mpelekee cheni ya gold kama ni black kama mimi mpelekee ya silver lakini isiwe mchina maana atakutoa nayo nduki coz ninavyohisi wewe ni wa musoma....! kuna lingine labda....?
 
duh, kwani anapenda nini?

Ni wa kisasa au ni sie kina Lawino bora ulete hiyo hela tukanunue tofali au niongezee banda la kuku.

you should know ur girl, usisahau perfume elegant.
 
Jipeleke wewe mwenyewe ukiwa mzima na salama salimini, kama upo kama 'ulivyotoka' ni zawadi kubwa zaidi
 
unampellekea maua msichana wa kiswahili
mwishi unaulizwa...sasa nitakula maua??

peleka kiroba cha mchele...mchezo umekwisha lol
acha sinema lol
 
mpenzi wako ana rangi gani..? kama ni light color mpelekee cheni ya gold kama ni black kama mimi mpelekee ya silver lakini isiwe mchina maana atakutoa nayo nduki coz ninavyohisi wewe ni wa musoma....! kuna lingine labda....?
umejuaje? ye ni mweusi.
 
Yan wewe unaangalizia hadi koment za jf? Umeshaangalizia mitihani weeeeeee
da mmenifurahisha sana....cha ajabu sijajua kuwa huwa anapendelea nn.kwan cna mda nae mrefu sana zaidi huw ninakuwa masomoni
 
Nilitaka kumshahuri ampelekee saa au perfume nzuri ila nikaona kumbe mwanafunzi... :)
Anyway, I get your point...
Ni vizuri akamchunguza mwenyewe.
Maana kitu kama saa mimi hua sivai mtu akinipa ntapokea ila hatokaa anione nayo.
Kwasababu ni mwanafunzi anaweza akamnunulia vitu vinavyohusiana na shule.Au nguo/viatu kama anajua style na size yake.Kitu kingine ambacho kila mtu anahitaji ni chakula kama alivyosuggest Boss, sema hii inategemea anaishi na wazazi au la, na kama anaishi na wazazi wawe wanamjua mshkaji.Au amkabidhi cash msichana aangalie mwenyewe nini anahitaji.
 
Yeye anapenda nini?

RR na Driller sio kila mtu anapenda vidani na cheni.
ndio maana tf anajaribu kila njia kukupata ila unaweka pozi..! ndio maana huna mpenzi...! twende.. twende..twende.. kichwa kammmmma... ilooooooo:eyebrows:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom