Zawadi gani nzuri kwa wazazi siku ya harusi?

Oscamaduhu

Member
Jul 29, 2022
24
19
Wadau habarini,

Wiki ijayo nategemea kufunga ndoa huko Mtwara, sasa nishaurini ni zawadi gani nzuri ya kuwapa wazazi wangu? Na je, kama ni mistari ya biblia, ni mstari gani mzuri unaohusu wazazi?
 
Mkuu, umekaa na wazazi wako miaka zaidi ya 15 na haufahamu vitu ambavyo ukiwapatia kama zawadi vitaongeza thamani katika maisha yao na kua kumbukumbu kwao kupitia kwako?

Jitafakari sana, maana hata hiyo ndoa unaweza ukaja utuulize umpe nini mkeo.
 
Mkuu, umekaa na wazazi wako miaka zaidi ya 15 na haufahamu vitu ambavyo ukiwapatia kama zawadi vitaongeza thamani katika maisha yao na kua kumbukumbu kwao kupitia kwako?

Jitafakari sana, maana hata hiyo ndoa unaweza ukaja utuulize umpe nini mkeo
Toa jibu
 
Baba mnunulie kitambaa kizuri cha suti kama ni mtu wa pigo hizo, kama sio basi mnunulie suruali nzuri na mashati ya kuendana na umri wake, mama mnunulie vitenge, lakini sasa usibague fanya ivo kwa wazazi wa pande zote......unaweza kuona ni vitu vidogo lakini kwa mzazi vina thamani kubwa
 
Aisee nashukuru sana ubarikiwe

Back
Top Bottom