Zari, Lulu waikacha Video mpya ya Diamond "Salome"

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Wakati baadhi ya mastaa wakubwa nchini, wakionyesha support kubwa kwa mwanamuziki diamond platnumz, juu ya ujio wake mpya kwenye wimbo uitwao "SALOME", hali imekua tofauti kwa mastaa wakubwa nchini, ZARI the boss lady pamoja na muigizaji LULU Michael.

Inasemekana watu wengi walikua wanategemea support kubwa kutoka kwa mzazi mwenzie na mwanamuziki huyo(zari) ambapo imekua kawaida ya mwanana huyo ku support kila kazi mpya ya mpenzi wake huyo, mpaka hivi sasa ninavyo type mwana mama huyo hajaongelea chochote juu ya video hyo mpya ambayo imekua habari ya mujini,

hata hivyo inasemekana huko nyuma zilivuma tetesi kuwa diamond platnumz anavunja amri ya sita na video queen maarufu nchini, HAMISA MOBETO ambaye pia ameshiriki kwenye video ya wimbo huo kama "SALOME" huenda tetesi hizo zikawa chanzo cha mwanamama huyo kuikacha video hyo.

Pia kwa muigizaji Elizabeth Michael "LULU" hali imekua tofauti ambapo yeye amekua karibu na msanii huyo pamoja na ku support kazi zake nyingi, ikiwemo ile ya "NANA" ambapo alitoa ushirikiano wa kutosha alipost video akiwa anacheza wimbo huo kwa madoido na mbwembwe zote, ambapo video hyo ilisambaa kwenye mitando mbali mbali ya kijamii, na kuzidi kuipa promo wimbo huo.

Inasemekena uwepo wa HAMISA MOBETO kwenye video hyo inaweza kuwa sababu ya msanii kuikacha video hyo na kuipotezea, Lulu aliwahi kuingia kwenye bifu zito na model maarufu nchini, hamisa mobeto, ambaye pia ameshiriki kwenye wimbo huo kama video queen, hivyo ilikua ngumu kwa msanii hyo kupost video ya adui yake huyo, pia Lulu haelewani na TUNDA ambaye na yeye ameonyesha umahiri wake kwenye video hyo, hizo ndo baadhi ya sababu zilizopelekea muigizaji huyo kumkacha SALOME.

1474464664084.jpg
 
That's Warumi my boy. Hajawahi kuniangusha tangu tupo shule ya msingi. You nailed it boy. Maana mwenyewe nkawanauliza ila ckuweza kufanya connection yaharahaka.
 
ila kiukweli diamond ana mkosea heshima zari.zari asha muhisi hamisa vibaya Leo hii diamond ana mchukua na kuwa video Queen. sio fair kabisa
weweee..mond ana kazi nyingi sana so anaamua mwenyewe ipi aiachie..huu wimbo ulitengenezwa kama miez michache ilopita.na kipindi hiko ndo wale wapuuzi wakawa wanamuona mobeto yupo closer na mond ndo wakazusha wanamegana..but ilikua kikazi.na zari kama mzaz mwenzie anajua project zote za mmewe so alikua anawachora tu ukweli anaujua but hana imani na mobeto cz anamjua vizuri mond ni kitombi.
baada ya kuachia kidogo ndo akapanga kuachia hii.na kazi zake zote huwaga hazisemi ni sirisiri hadi kwa walioshiriki
 
Mbona na kwa zari anavunja amri ya sita. Maana mpaka Mondi aowewe ndo ntaanza kumhukumu kwamba anavunja amri ya sita. Kwahiyo "it doesn't matter what number you take, what matters to play ur part" or struggle for the fittest. Ingekua kuza ndo tayari mtu mke wako. Kanisani watu wasingefunga ndoa. Maana majority hawafungi nawanao zalishwa
 
ila kiukweli diamond ana mkosea heshima zari.zari asha muhisi hamisa vibaya Leo hii diamond ana mchukua na kuwa video Queen. sio fair kabisa

Mi sio mtaalamu wa umbea wa mjini Ila its clear kabisa lile bifu au scandal ya Mobeto na diamond ilitengenezwa ili kuwaweka kwenye headlines na pia ukaribu wao uliotokana na kazi waliyofanya(video ya salome) ndo ikawapa wanaudaku cha kuandika. Mobeto acngekuwepo kwenye hyo vdeo ndo kidogo tungeweza kusema mondi alichepuka. Zari kila siku anapost snapchat anaenjoy penzi lake na Mondi, ni muda wa watanzania kuelewa sikuiz kila sector kwanzia siasa mpaka mziki ni lazima uende kwa drama ndo utakiki.Kabla ya scandal ya Mobeto na Diamond na uhakika watanzania wengine hata Mobeto mlikua hamumjui, hata mngemuona kwenye Salome msimgemtambua, tegemeeni kumwona tena kwenye vdeo zijazo na movies kibao zijazo maana kashatengeneza jina bongo.
 
That's Warumi my boy. Hajawahi kuniangusha tangu tupo shule ya msingi. You nailed it boy. Maana mwenyewe nkawanauliza ila ckuweza kufanya connection yaharahaka.
Aaaah thanks binamu
 
ila kiukweli diamond ana mkosea heshima zari.zari asha muhisi hamisa vibaya Leo hii diamond ana mchukua na kuwa video Queen. sio fair kabisa
anamkosea heshima gani? kwani mkewe yule mtu kaacha mume na watoto huko kaja kuendekeza uzinzi madale mnamuona ana heshima? mume ana kila kitu duniani ila hatulii akwende huko
 
Back
Top Bottom