Shemeji wa Diamond platnumz afanya operesheni ya kuongeza Lips

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene jambo linalodhihirisha kuwa ametoka kufanyiwa Surgery ya Lips.

ANGALIA HAPA MUONEKANO WAKE MPYA

Malaika aliwahi kuolewa na mtangazaji wa Wasafi Fm Ricardo Momo na baadae wakaachana.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Wanaume mtawaua wadada jamani...sio kwa masajari haya....
Hata wanaume tunaangamia kwa madawa ya kuji bust. Wazee wangapi wanafia guest?

Hiyo yote ili tuweze kushiriki tendo kwa namna ambayo wanawake wamekuwa wakionesha kuridhika nayo

Wengine wana enlarge maumbile yao wakihisi wakibaki na maumbile yao ya asili hawawezi kuwa satisfy wanawake.

So kila upande una stori yake ambayo upande wa pili haujaweza kuisikia.
 
Hata wanaume tunaangamia kwa madawa ya kuji bust. Wazee wangapi wanafia gues?

Hiyo yote ili tuweze kushiriki tendo kwa namna ambayo wanawake wamekuwa wakionesha kuridhika nayo

Wengine wana enlarge maumbile yao wakihisi wakibaki na maumbile yao ya asili hawawezi kuwa satisfy wanawake.

So kila upande una stori yake ambayo upande wa pili haujaweza kuisikia.
Nimecheka sanaaaa....mbona wengine hatutaki maumbile makubwa? Yani hatutaki kero...sijui hao wanaowafanya muongeze ukubwa wa mzee wa kazi wana matatizo gani... 😂 😂 😂 😂
 
Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene jambo linalodhihirisha kuwa ametoka kufanyiwa Surgery ya Lips.

ANGALIA HAPA MUONEKANO WAKE MPYA
View attachment 2889850

Malaika aliwahi kuolewa na mtangazaji wa Wasafi Fm Ricardo Momo na baadae wakaachana.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Hivi hizi sajari hazina negativu ifekti uzeeni?
 
Lips kubwa zina kazi gani kaka zetu wazuri? Msinambie kama hiki ndo kigezo cha wanaume wa bongo baada ya takle kubwa?

Haya mateso yote ya nini kama nalo ni hitaji la kaka zetu wa bongo basi mimi ndo maana wamenishinda nahama continent kabisa😅
Inaonekana sisi natural kama msitu hatuna soko.☹😭
 
Bongo usiwe serious..... components zote za uzur zinayeyuka Baada ya bao la kwanza😂😂
 
Hivi mwanaume unajua kabisa mwanamke kafanya upaduaji na kuweka plastic kuongeza mwili, nywele za bandia , kucha za bandia,kope za bandia, Mboni za bandia, kope meno ya bandia, ngozi hatoki ndani kabla ya kujikandika marangi ili kufunika mabonde, unalitokea dude la nmna hiyo Sasa ulianza kulila hapo unakula binaadamu,puto , plastic au jini?
 
Hivi mwanaume unajua kabisa mwanamke kafanya upaduaji na kuweka plastic kuongeza mwili, nywele za bandia , kucha za bandia,kope za bandia, Mboni za bandia, kope meno ya bandia, ngozi hatoki ndani kabla ya kujikandika marangi ili kufunika mabonde, unalitokea dude la nmna hiyo Sasa ulianza kulila hapo unakula binaadamu, plastic au jini?
Men are curious by nature..

Tunataka tuone kuna nini cha ziada wakishafanya hayo masajari, hence tunajikuta tumepanga (pangwa) foleni.

Na mara nyingi tukishajionea yaliyomo huwa tunajiondokea na kurejea kwa vimbau mbau wetu tuliowazoea.
 
Sasa pale unafaidi nini??
 
Hivi mwanaume unajua kabisa mwanamke kafanya upaduaji na kuweka plastic kuongeza mwili, nywele za bandia , kucha za bandia,kope za bandia, Mboni za bandia, kope meno ya bandia, ngozi hatoki ndani kabla ya kujikandika marangi ili kufunika mabonde, unalitokea dude la nmna hiyo Sasa ulianza kulila hapo unakula binaadamu,puto , plastic au jini?
Kwanza pale si kinachotumika.ni k au??
 
Back
Top Bottom