Zari, Lulu waikacha Video mpya ya Diamond "Salome"

Who the hell they r?!!!!

Jus let them go to hellllll......!

Nyimbo nzuri,hawana lolote ukute wanachezea ndani kwa ndani!!


Hallaaa back Hamisaaaaaaa!!!

Go go girl!!!!!

Kutesa kwa zamu!!
 
ila kiukweli diamond ana mkosea heshima zari.zari asha muhisi hamisa vibaya Leo hii diamond ana mchukua na kuwa video Queen. sio fair kabisa
Shooting ni mda sana ndo iliyowakutanisha Mobeto na Mondi!

Wamama tujifunze tena ukitembea na kitoto kidogo kubali yote...

Maana mwenzio damu inachemka bado muda wake wa kutulia..

Zari kauza mbunyeee!Leo anataka simba atulie....

Wapiii!!bibi azae tu!
atuachie sample
 
Ila jamani zari ni mzuri...sio sura...sio ngozi....sio umbile....sio mguu.

Dah Diamond anafaidi aisee.
 
the moment diamond anaachana na zari atakuja kujuta sana...us men can tell who is a woman and who is a whore
 
ila kiukweli diamond ana mkosea heshima zari.zari asha muhisi hamisa vibaya Leo hii diamond ana mchukua na kuwa video Queen. sio fair kabisa
Biashara haiwezi kusimamishwa kutokana na hisia...mkataba tena wa 50m ushasainiwa na directors wa video...na script writers halafu ukatae kwa sababu mama mtoto nyumbani anahisi bibaya...!? Duh!
 
Ile kideo kali balaa, warembo wakali kuzidi hata hao kina lulu, video ni kali na inshort plutnumz kaua tena
 
Back
Top Bottom