Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
kikubwa ni muungano kuvunjwa kipindi tukielekea mchakato wa kuunda EAST AFRICAN FEDELETION
Maswala ya shirikisho la EA hayana nguvu tena, baada ya EU kuanza kushindwa,Mjerumani anawaambia nchi za ulaya lazima zibadilike ziache uvivu, Ni ujeruman pekee iliyobaki na uchumi imara wengine wako hoi soon mtasikia mengi kwani nchi nyingi ni wavivu.Sembuse na EA ukiangalia Ni Rwanda pekee ndiyo inajenga uchumi wengine ni kupambana na wanasiasa.Uganda Museveni yuko bussy na Besigye, Tanzania wako bussy na CDM na urais 2015, Kenya wako bussy na akina uhuru kenyata na William Ruto na wanaangalia nani rais 2012.Acha wazanzibar wajitenge na wataanza kuwa bussy na yao mapya