Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya muungano tangu zamani, mtakumbuka kuwa ilishaelezwa kwamba watakaouvunja muungano huu ni wazanzibar wenyewe kutokana na ulevi tu wa viongozi wao.
ngoja nikawaambie "wazee wangu wa gerezani", watanyosha mambo, hii yote sababu ya yule "mvaa kaptura" angetuachia sisi "wavaa suti hili lisingetokea"
 
Dr.shein si mvunja muungano, ni mlinzi wa muungano kwa faida ya wote. Mzanzibar makini hawezi kuupinga muungano, fursa ni nyingi sana kwa manufaa yao, ajira kwa wazanzibar huku bara ambayo haiwabagui especial serikalini kitu ambacho mtanganyika si rahisi kwake, fursa za kiuchumi na pia manufaa ya kijamii. Kingine watu wengi hawakitambui " zanzibar in export watu wake wengi huku bara na kwa njia hiyo inaipa political balance kule, lakini hawa jamaa wangelikuwa wao kwa wao hata maridhiano yasingelikuja, huku bara kuwapoza na joto na fukuto la kisiasa kule kisiwani.
 
kwani yakitokea si yao wenyewe?????PILIPILI USIOILA YAKUWASHIA NINI??????

Wao wenyewe akina nani, kwani wewe unawajua hao wazee walokwenda UN? wanamwakilisha nani? jambo la busara ambalo wengefanya ni kuhamisha wananchi waibane serikali ya mapinduzi iitishe referendum ili kujua haswaa ni wangapi wanaotaka muungano, wakipata watu wengi halafu serikali ikikataa ndio wakimbilie UN....
 
Umefilisika kifikra. Tanganyika ilipata uhuru 1961 na eneo lake linajulikana fika. Unajua Ikulu ilipo, na hata Mwingereza alipokabidhi Uhuru unafahamu fika, inashangaza unaleta stori za ajabu ajabu hapa. Kama Pwani ya Kenya, Tanganyika na Msumbiji ilikuwa chini ya Sultan iweje mwingereza akabidhi uhuru katika nchi isiyohusika. Kwa upande mwingine baada ya Zanzibar kupata uhuru 1964 kwa nini hawakuchukua Pwani ya Kenya, Tanganyika na Msumbiji? Wakati tunaungana nao eneo lao ni Pemba na Unguja na si vinginevyo. Mapinduzi yaliyofanyika yalikomboa visiwa vya Unguja na Pemba pekee, eneo la Kenya, Tanganyika na Msumbiji unalolidai lilikuwa huru wakati wa mapinduzi.

Nikuulize Mwingereza alikuwa na uhalali wa kumiliki eneo la pwani ya Tanganyika? Nakuuliza kama nilivyomuuliza Joka Kuu nitafutia sale agreement ya mwingereza na Sultani wa Zanzibar? Utaniuliza sasa mbona huleti mkataba wa sultani na wazawa ? Jibu la hilo ni Berlin conference ambayo iligawa bara la Africa ambalo ukanda wa pwani aligaiwa sultani wa Zanzibar. Sasa nikuulize waingereza walikuwa mkataba wa mauzo ya ardhi ya Kenya? Wajerumani walikuwa na mkataba wa mauzo ya Tanganyika? But baada ya hiyo conference ndio waliweka mikataba ya kimataifa ambayo mipaka yake hadi leo hii inatumika otherwise hata Mlima Kilimanjaro saa hizi ungelikuwa Kenya.

Hivyo kujibu swali lako Zanzibar ilikuwa mjumuisho wa Unguja, Pemba, Mafia na ukanda wa pwani wote. Nipatie mkataba wa mauzo baina ya Sultani na mjerumani? Mwingereza na sultani walikubaliana mkataba wa kuachia ukanda wa pwani Kenya kwa masharti maalum. Je tanganyika uko wapi?

Tazama Ramani ya nchi ya zanzibar mwaka 1886 pata link hapo chini:-

http://unimaps.com/tanzania1886/index.html
 
kwani kipo cha kugawana labda breweries

nchi yote inanuka umasikini kwa siasa mbovu zilizoshindwa za huyo aitwaye Baba wa Taifa marehemu NYERERE
umasikini wetu hauwazidi wanzanzibar-wao wana hali mbaya sana zaidi yetu
 
naona ya al shabab yanataka kuanza huko "zanjibali" nje ya muungano hakuna cha zanzibali, bali sisi ni wa pemba wao wa unguja, sasa wale wazee wangu sijui kama hiyo vita ya "al shabab" wataiweza
 
Dhambi ya ubaguzi aliyosema Julius hiyoooo, sasa hivi watagundua kwamba hakuna wazanzibari, maana si alisema ni kama kula nyama ya mtu, ukiionja huachi.... mmh babu nae alijuaje haya mambo ya nyama za watu lakini!!!!!!!!!!!!!!!!?

Badaye wataanze wale wapemba sisi waunguja. Wanalo, wajitenge tu!
 
Yaani watu wa visiwa kwa kelele hawajambo! Yaani suala la wao kuamua na kutoa tu taarifa kuwa hawaji tena bara na muungano basi, wanakimbizana kwenda nyuu yoku.
 
Nikuulize Mwingereza alikuwa na uhalali wa kumiliki eneo la pwani ya Tanganyika? Nakuuliza kama nilivyomuuliza Joka Kuu nitafutia sale agreement ya mwingereza na Sultani wa Zanzibar? Utaniuliza sasa mbona huleti mkataba wa sultani na wazawa ? Jibu la hilo ni Berlin conference ambayo iligawa bara la Africa ambalo ukanda wa pwani aligaiwa sultani wa Zanzibar. Sasa nikuulize waingereza walikuwa mkataba wa mauzo ya ardhi ya Kenya? Wajerumani walikuwa na mkataba wa mauzo ya Tanganyika? But baada ya hiyo conference ndio waliweka mikataba ya kimataifa ambayo mipaka yake hadi leo hii inatumika otherwise hata Mlima Kilimanjaro saa hizi ungelikuwa Kenya.

Hivyo kujibu swali lako Zanzibar ilikuwa mjumuisho wa Unguja, Pemba, Mafia na ukanda wa pwani wote. Nipatie mkataba wa mauzo baina ya Sultani na mjerumani? Mwingereza na sultani walikubaliana mkataba wa kuachia ukanda wa pwani Kenya kwa masharti maalum. Je tanganyika uko wapi?

Tazama Ramani ya nchi ya zanzibar mwaka 1886 pata link hapo chini:-

Unimaps.com - Tanganyika & Zanzibar, 1886

naona umeanza kuchanganyikiwa
 
Wanaharakati wa zanzibar wamefikia hatua hiyo baada ya kuona hawaridhiki na matendo ya Muungano na hatimaye kuwasilisha uhitaji wao wa kujitenga UN.

Mytake: Kama muungano ukivunjika si hamna CCM au? ila ngojea tuwaze plan B

source BBC

Na huo ndio wasiswasi wako, utakula wapi kada kama wewe....
 
Yaani watu wa visiwa kwa kelele hawajambo! Yaani suala la wao kuamua na kutoa tu taarifa kuwa hawataki tena muungano, wanakimbizana kwenda nyuu yoku!!
 
Wana akili sana hawa ila wamekosea kitu kimoja,kwenda UN wangejitangazia wenyewe na jumuia kuwa wamejitoa.Jamani kila kitu mpaka tusaidiwe,hamna wajameni tangazeni tu nchi yenu yaani Jamhuri ya Zanzibar.
 
kama ndo hivo basi hata sultani alivamia eneo la pwani na tanganyika kwa ujumla ikizingatiwa tanganyika ilikuwa na tawala ndogo ndogo,geographically nchi kuvuka bahari uo sio mpaka tena bari ni uvamizi ukiangaria pia sultan nae wakuja tu pwani hii,tatizo wazazibari mnajiona kama waoman vile...
 
Back
Top Bottom