Kama SMZ ina nia ya dhati ya kukomesha hili ni rahisi.

Ichukue vijana pale Lugalo wavae kiraia watapakae Mjini Magharibi wakila ovyo mitaani.

Hao wanaopiga watu huku wana njaa zao kali hawatokaa wapige mtu tena.
 
Nilitegemea kuona statement ikiambatana na amri ya kushughulikiwa kwa yeyote atayejihusisha na fujo hizo ili watu waogope.

Lakini maneno matupu sioni kama yataenda kubadilisha chochote.
 
Kulingana na waraka huo, anayeingilia uhuru wa kuabudu wa mtu mwingine, ni anayekula hadharani wakati wa mfungo.

Swali linabaki pale pale, Sheria inasemaje?

Na Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini?
Yani wewe ukifunga kila mtu afunge hata asiyeamini unachokiamin

Kwani amekulisha kwa nguvu

Kula hadharani ndo kula vip, yani wewe ukifunga mtu akalie chakula chake chooni au kichakani

Wewe kama unaona watu wanaokula wanakula hadharani ikwepe hiyo hadharani ukae ndani kwako uone kama kuna mtu atakuja kwako kukulazimisha ule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni za kitalii zilizopigwa faini ya $500 kwa kila mtalii aliyekuwa anakula mchana. Serikali haihusiki?

Nilitegemea serikali ije na tamko la kuomba radhi badala ya kuja na upuuzi huu wa kukanusha.

Kuna mkuu wa Wilaya pia amekiri kuwa wanaokula mchana ktk mwezi mtukufu wanavunja sheria kwa kuwa "wameikerahisha jamii".

Sasa wewe Charles Hillary nani kakutuma useme haya??
 
Wajinga kweli

Bado li waraka lao kimekaa kidinidini yaan limeegemea kwenye UISLAM, indirect linataka watu waheshimu Dini tu ya UISLAM.

Hapa suala sio Dini tu, Kuna masuala ya Kijamii, Kwanini Wanapiga marufuku watu Kula yaan unatakiwa ule kama vile uko matekani ???

Waraka unaanza Kwa kusema "Serikali ya Zanzibar imehimiza katika mwezi huu mtukufu ..........., wakati Kuna sisi hapa ambao Huu mwezi sio mtukufu.

Chamaana, Wamekiri Kuna matendo ya unyanyasaji.
 
Kampuni za kitalii zilizopigwa faini ya $500 kwa kila mtalii aliyekuwa anakula mchana. Serikali haihusiki?

Nilitegemea serikali ije na tamko la kuomba radhi badala ya kuja na upuuzi huu wa kukanusha.

Kuna mkuu wa Wilaya pia amekiri kuwa wanaokula mchana ktk mwezi mtukufu wanavunja sheria kwa kuwa "wameikerahisha jamii".

Sasa wewe Charles Hillary nani kakutuma useme haya??
Charles anapingana na mawazo ya ma boss wake.
 
Yani wewe ukifunga kila mtu afunge hata asiyeamini unachokiamin

Kwani amekulisha kwa nguvu

Kula hadharani ndo kula vip, yani wewe ukifunga mtu akalie chakula chake chooni au kichakani

Wewe kama unaona watu wanaokula wanakula hadharani ikwepe hiyo hadharani ukae ndani kwako uone kama kuna mtu atakuja kwako kukulazimisha ule

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa,

Mimi pia napinga wakristo kunyanyaswa.

Nilichopinga ni waraka kutolaani wazi askari waliofanya vitendo hivyo bila kuwa na backup yoyote ya kisheria kuwapiga watu wanaokula hadharani hata kama ni ndani ya nyumba zao.

Kwa kuwa KUFUNGA ni sirini, waliofunga hawana haja kutuambia kuwa wamefunga, Kila Mmoja aendelee na maisha yake.
 
Laana ?!!!! Hizo Laana tumuachie Mungu..., hapa Duniani unatenda Kosa unashughulikiwa Kisheria... Tuache Upuuzi
 
Back
Top Bottom