dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,138
- 3,042
Mkuu wa Wilaya ya Mjini AMBAE pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Mjini amepiga marufuku Kwa Watu wa jamii ya kimasai kutembea na SIME na RUNGU Kwa hofu ya uvunjifu wa Amani
Hayo yamejiri baada Kuzunguka Kwa Video wiki iliyopita ikionesha Wamasai wakiwashambulia Askari wa Mamlaka ya Mji Mkongwe ambao walikua katika kazi zao za kuondosha biashara holela katika Mji huo wa kitalii
Imeshuhudiwa miaka ya hivi karibuni jamii nyingi za kitanganyika Kwa mamia zikimiminika katika Miji ya Zanzibar Kwa kisingizio Cha kuja kutafuta MAISHA Bora
Hali hii imesababisha vurugu kubwa mitaani ikiwemo watu hao kulala maeneo ya wazi kama JAMHURI GARDEN kujusaidia ovyo mitaani kudhirura na watoto wachanga wakiomba na KUWEPO mamia ya walemavi wanaojipanga Barabarani kinyume na Tamaduni za wazanzibar
Licha ya hayo makundi hayo ya Watanganyika baadhi Yao hujushughulisja Kwa utapeli ,wizi na biashara za KAMARI
Hii imepelekea Haina ya ZANZIBAR kuanza kupotea hadhi yake Kwa vurugu za wamachinga hao mavazi ya kizanzibar pamoja na kiswahili fasaha kuanza kitoweka
Kuna haja na mikakati madhubuti kuchukuliwa Ili ZANZIBAR ibaki kuwa ZANZIBAR kwani Toka asili na jadi Zanzibar ikitambulika duniani kwote Kwa Adabu ustaarabu heshima uaminifu utu nk hivyo tusikubali tunu ZETU kupotezwa kiholela na nilazima tuzirithishe Kwa vizazi vyetu
HEKO DC MSARAKA LAKINI LAZI BADO KABISA
Pia soma:

Waliohoji na kupinga katazo la Wamasai kuzuiliwa kutembea a sime
- Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi
- Masai wakatazwa kutembea na fimbo Zanzibar; Je, Wamasai wamewakosea nini kila sehemu mnawakataa?
- Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!
Waliounga mkono katazo la wamasai kutembea na sime
- Wamasai wameshindikana Zanzibar, lipelekwe Jeshi kuwapora marungu, fimbo na sime
- Naungana na Zanzibar kuzuia Wamasai kutembea na SIME na RUNGU