Zanzibar: Marufuku Wamasai kutembea na SIME na RUNGU

Eheee, mwishowe watawaambia wavae chupi/ boxer na wao wamezoea kuning'niza mizuzu wao nje nje!!
Swala ni Visu/Mapanga, na hivyo vyote kiuusalama ni hatari,maana hizo ni silahaa siyo vizuri kutembea navyo Mujini,vitu vya huko porini vibaki huko huko porini!! Mjini ustaarabu kwanza!!
 

Mtu saa saba mchana jua kali anatembea na rungu na sime mjini kabisa vya nini?
 
Mmasai OG hawezi kukukata na ile sime akiitumia hivyo ni kama laana. Ile Rungu anao uwezo kama ukimshambulia wewe. Ila fimbo anaweza kuitumia wakati wowote.
 
Usitake tuseme mengi Wamasai wanagongwa na wataliana km hawana akili vizur wanataka wakajenge umasaini na kuendesha magari MAZUR
Weeee Mmasai agongwe! Thubutuuuu!! Wanaogongwa wengi ni watu wa Pwani na hukohuko kwenu visiwani.
 
Unadhani yale wanatembea nayo ni mapambo? Kweli ni mara chache hufanya vurugu lakini zile ni silaha kama silaha zingine.
Kwa hiyo zile silaha zinawafanya kuwapiga watu bila sababu au mpaka uwachokoze? Uliwahi kuwashuhidia wakiwapiga wati ovyo bila sababu yoyote?
 
Wamasai wanawaandama mpaka basi kule wamewatimua nyumbani kwao walipoishi muda wote wa maisha yao wamewapeleka wanapojua wao huku wanaanza kuwapokonya utamaduni wao asee mwisho watawaambia hawataki kuwaona wakiwa wamevaa mashuka wote wavae misuli na kanzu kwanza Zanzibar sio kwao, 👀
 
Sasa kama wapemba wanajenga majumba na biashara nyinyi mna ishi katika majumba mabovu mnala sehemu za wazi au mnakodi chumba watu ishirini yaani watanganyika tumewachoka yaani mnaishi km mpo karne ya 17?

Hatuwez kuvumilia hili
Hata wapemba wanaolala sehemu za wazi wapo na sehemu zizosifika kwa uchafu na ugonjwa wa kipindupindu Dar ni zile ambazo wapemba wamejazana
 
Znz kumetokea shambulizi la wamasai ,je bara Kuna nn ? ugaidi umetokea!?
download.jpg
 
Hiyo ndiyo faida ya Muungano, muwe na subra.
Hata huku bara wenyeji wanavumilia mapungufu ya watu wa visiwani waliopo huku.
Masai na makabila mengine wana haki kutembea popote ndani ya mipaka ya Tanzania kama ilivyo kwa jamii nyingine.
Ila masai acheni tabia kuzurula uchi mijini mkiwa na silaha.
 
Hata wavaa makobazi huwa wanaficha mabomu na silaha mbalimbali tuwapige marufuku ili kulinda amani
 
Back
Top Bottom