Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Jiponye nafs yako...!!! Uhai wa watu wengi haujawah kuwa justified na mtu mmoja haijalishi ana nguvu Kias gan , never ever , , tutabak kulaumiana tuu huku wenzetu wakishuka kaburini..... Uhai wa mtu mmoja mmoja ndo Jambo la kuchangamkia , tuna roho moja tuu na haina spea ikienda imeenda..... Wahindi wamelijua hili mapema Sana
 
Back
Top Bottom