Zanzibar expect to receive 15 science teachers from Nigeria

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
“We are expecting 15 teachers by end of this September. This will definitely be a great support for secondary students,” Saleh said. She said it was previously planned that 10 teachers will come, but fortunately Nigeria has offered five more to support our efforts to minimize shortage of science teachers in Zanzibar schools.
“The Nigerians are volunteers and they will be in Zanzibar for two years. We are not paying their salaries, our responsibility is to care for them by providing accommodation, transport, and health services,” the PS said. The Islands government has mentioned that education is one of its priorities, allocating 110bn/- for its 2012/2013 budget which include recruiting more skilled teachers mainly science teachers.
The relationship between Zanzibar and Nigeria has existed for decades, and in 1998 Zanzibar hired nine Nigerian judges to improve its judiciary during Dr Salmin Amour Juma era. At least one of the Nigerian Judges was given the task to preside over the treason case which involved 18 members of the Civic United Front (CUF). The case ended in 2001.
 
Mwalimu mzuri ni yule ajuaye mazingira ya mwanafunzi amfundishae.Hivi Tanzania vyuo vyote tulivyonavyo vya kazigani?.Bora tuwapatie watu(tukodishe) majengo ili wafugie kuku.
 
Sioni ubaya wa hili, si volunteers tatizo ni nini? la kujiuliza zaidi jee wanaqualification za kweli na taaluma yao? ikiwa kuna upungufu wa walimu wa sayansi ni jukumu la serikali kuweza kutatua tatizo, ikiwa hii ni temporary measure wakati serikali ikijipaanga vizuri ubaya uko wapi? Kusoma na kuelimika ni vitu tafauti, wenzetu wenye kuthamini sekta muhimu za nchi zao njia za adaptation namna hii zinatumika sana tu, kwa mfano kutokana na uhaba wa wafanyakazi katika sekta ya afya nchini uingereza sheria zimewekwa kwa upana na urahisi zaidi kwa manurse na madaktari kuajiriwa within EU ili kuziba pengo, wakati ulaya wakisaidiana wenyewe kwa wenyewe waafrika tumebaki na ile ile dhana ya ujuaji na kiburi cha kudharau kila step inayochukuliwa kukidhi mahitaji. Utawakuta kwenye pombe club kazi majisifu tu waulize nini msaada wao kwa jamii hakuna ni zero, na support any measure necessary inayochukuliwa na serikali kuimarisha sekta ya afya na elimu, ningelikuwa na shaka kama hawa brothers from Nigeria wamepatiwa ajira wakati wapo wananchi wenye uwezo na qualification. Hivi ni kweli this forum goes with its slogan ya kuwa ni sehemu ya great thinkers? i doubt it very much..:evil:
 
hahahaaaa hawa wapemba wana akili timamu kweli?

Wapemba wapo timamu sana jombaa mi nawakubali sana! Kwani tz tunapokea misaada mingapi na hatujasema kitu, kwakua wapemba wamepata msaada wa wakufunzi wa sayansi ndio tuwaone hawana akili.
 
All well and good however we should be investing in E-learning. Mfano mzuri ni Safaricom blackboard e learning platform.
 
Back
Top Bottom