Nigeria to ban degrees from Kenya, Uganda in crackdown

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
2,453
5,986
By AFRICA NEWS

Nigeria has announced an expansion of its suspension of degrees accreditation, encompassing additional countries such as Kenya and Uganda.

This decision follows the recent suspension of accreditation for degrees obtained from institutions in Benin and Togo.

During an interview on Nigeria's Channels Television channel, Education Minister Tahir Mamman stated on Wednesday, "We are not going to stop at just Benin and Togo. We are going to extend the dragnet to countries like Uganda, Kenya, even Niger here where such institutions have been set up."

This move is a response to the revelation of fraudulent qualifications from foreign degree mills, as exposed by the Daily Nigerian newspaper. In an undercover investigation, reporter Umar Audu detailed how he acquired a degree for a four-year program from a Benin university in under two months.

Expressing his firm stance, Mr. Mamman asserted, "I have no sympathy for those with fake certificates from foreign countries. They are not victims but part of the criminal chain that should be arrested."

Nigeria has initiated a formal investigation into the ministries and agencies responsible for accrediting academic qualifications obtained abroad. Mr. Mamman emphasized that this measure aims to safeguard Nigeria's employers and maintain the integrity of the country's qualifications.

The government's decisive action is in response to the urgent need to curb the proliferation of counterfeit qualifications, as revealed by the Daily Nigerian's exposé.

This broader suspension reflects Nigeria's commitment to maintaining the credibility of its educational system and protecting employers from potential fraudulent practices.
 
Kwa Tanzania, wapige ban digrii za Open Univerisity kwa kuwa wanaosoma hapo hufanyiwa kila kitu na watu, na wanawalipa hela, pia degree za Saint Augustine, Tumaini, na Mzumbe Mbeya Campus, Jordan University. Hizi degree zote ni takataka,

Vyuma pekee ni UDSM, SUA, Muhimbili.

UDOM ni High School iliyochangamka
 
Kama na wewe una degree basi nazo za Tanzania zipigwe Ban!.
Walionifundisha undergraduate utaishia kuwaona kwenye TV, moja ya generation bora kabisa ya academicians nchi imewahi kuwapata.
 
Kwa Tanzania, wapige ban digrii za Open Univerisity kwa kuwa wanaosoma hapo hufanyiwa kila kitu na watu, na wanawalipa hela, pia degree za Saint Augustine, Tumaini, na Mzumbe Mbeya Campus, Jordan University. Hizi degree zote ni takataka,

Vyuma pekee ni UDSM, SUA, Muhimbili.

UDOM ni High School iliyochangamka

UDOM imechange sana over the years. Now wako vizuri na wanaendelea kuomarika .Ww bado ume stuck in the past.
Cant speak for OUT university
 
UDSM ya sasa ni light version ya UDSM ya kipindi hiko.
SUA ndio wame maintain standard kama zamani. UDMS nope
 
Banning degrees from other universities just becouse of a single person briefing on the mention!. I think they need deeper and scarce investigation before further actions, or else they will ban a lot of Africas universities
 
UDOM imechange sana over the years. Now wako vizuri na wanaendelea kuomarika .Ww bado ume stuck in the past.
Cant speak for OUT university
Jamaa ana stress sana.Lakini Kwa sasa Ma CEO wengi ukweli wameanza kuujua kuliko zile propaganda za sijui chuo Fulani wakati Kuna wengine empty kabisa mpaka unajiuliza huyu ndio katoka sehemu Fulani?
 
Hawa Wa Niger
By AFRICA NEWS

Nigeria has announced an expansion of its suspension of degrees accreditation, encompassing additional countries such as Kenya and Uganda.

This decision follows the recent suspension of accreditation for degrees obtained from institutions in Benin and Togo.

During an interview on Nigeria's Channels Television channel, Education Minister Tahir Mamman stated on Wednesday, "We are not going to stop at just Benin and Togo. We are going to extend the dragnet to countries like Uganda, Kenya, even Niger here where such institutions have been set up."

This move is a response to the revelation of fraudulent qualifications from foreign degree mills, as exposed by the Daily Nigerian newspaper. In an undercover investigation, reporter Umar Audu detailed how he acquired a degree for a four-year program from a Benin university in under two months.

Expressing his firm stance, Mr. Mamman asserted, "I have no sympathy for those with fake certificates from foreign countries. They are not victims but part of the criminal chain that should be arrested."

Nigeria has initiated a formal investigation into the ministries and agencies responsible for accrediting academic qualifications obtained abroad. Mr. Mamman emphasized that this measure aims to safeguard Nigeria's employers and maintain the integrity of the country's qualifications.

The government's decisive action is in response to the urgent need to curb the proliferation of counterfeit qualifications, as revealed by the Daily Nigerian's exposé.

This broader suspension reflects Nigeria's commitment to maintaining the credibility of its educational system and protecting employers from potential fraudulent practices.
Ma masters wa fake degrees wana BAN fake degrees toka nchi zingine!!
 
Kwa Tanzania, wapige ban digrii za Open Univerisity kwa kuwa wanaosoma hapo hufanyiwa kila kitu na watu, na wanawalipa hela, pia degree za Saint Augustine, Tumaini, na Mzumbe Mbeya Campus, Jordan University. Hizi degree zote ni takataka,

Vyuma pekee ni UDSM, SUA, Muhimbili.

UDOM ni High School iliyochangamka
Hawahawa UDSM Form 10?
 
Na waziri wenu wa habari na mawasiliano kajificha hapo OUT .

UDSM ya mwaka gani??
 
Kwa Tanzania, wapige ban digrii za Open Univerisity kwa kuwa wanaosoma hapo hufanyiwa kila kitu na watu, na wanawalipa hela, pia degree za Saint Augustine, Tumaini, na Mzumbe Mbeya Campus, Jordan University. Hizi degree zote ni takataka,

Vyuma pekee ni UDSM, SUA, Muhimbili.

UDOM ni High School iliyochangamka
Mara nyingi malofa wengi Wana mawazo kama yako
 
Kwa Tanzania, wapige ban digrii za Open Univerisity kwa kuwa wanaosoma hapo hufanyiwa kila kitu na watu, na wanawalipa hela, pia degree za Saint Augustine, Tumaini, na Mzumbe Mbeya Campus, Jordan University. Hizi degree zote ni takataka,

Vyuma pekee ni UDSM, SUA, Muhimbili.

UDOM ni High School iliyochangamka
Hivyo vyuo vina jipya gani katika nchi hii??

Vinazalisha vilaza wanaokuja kulialia mtaani kwa sababu vimewaandaa kuwa watumwa kwenye ofisi za watu na huo utumwa(ajira) ni mgumu kuupata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom