ZANZIBAR,DODOMA NA MOROGORO kuamua mshindi 2015

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
nimejaribu kuangalia mwenendo wa mabadiliko ya kisiasa nchini na kujionea kuwa sehemu muhimu ambazo ccm hawatakiwi kufanya kosa ni zanzibar,dodoma na morogoro.
Hata chadema wanalijua hili ndio maana maandamano na uhamasishaji hayajafanyika katika sehemu hizi.kote huku ccm ina nguvu ya kutosha ambayo haijaathiriwa na chadema na pia haijaathiriwa na uchaguzi wa 2010.
Naamini M4C itapata changamoto kubwa katika maeneo tajwa na hii innafanya maeneo haya kuwa na majimbo muhimu uatakayoamua musyakabali wa nchi mwaka 2015.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
majaribio ya kweli ya M4C ni pale watakapoingia sehemu hizi nilizozitaja.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
mara ya kwanza mlikuwa mnasema dar, dar ilipo amka mkasema kusini, kusini wameamka sasa mwasema morogoro na dodoma. wapiga kura wa dodoma na zanzibar ni sawa na wapiga kura wa songea tu. mwakuu huu ccm mtajibeba.
 
majaribio ya kweli ya M4C ni pale watakapoingia sehemu hizi nilizozitaja.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

mmmm,,,,,,dodoma nadhan kumeshaathirika,,,,ukiizungumzia moro,,,u mean manispaa au wilaya zake???maana kama kilombero kwa yule mbunge wa chadema alofariki,,,,naona mteketa hana nafasi,,,,CHADEMA wakipanga nyc person watashinda,,,tuje kilosa kati kwa mkulo,kwa sasa hakubaliki,,,,,anabebwa na wazeee,,,,so vijana wakiamua wanamtoa(ametoka marmo,,,,itakua yeye),,,kwa moro mjini(unpredictable,,,,abood na hivi huwapa mabas ya kuzikia raia wale sijui),,,,,siwez kupaongelea sana
 
Zanzibar si ndo hao hawataki Muungano!Ukiangalia Dododma ni kati ya mikoa ambayo haina maendeleo makubwa, wakina matonya kibao. Kwanini hata wanawangangania hawa mafisadi, hawataki maendeleo.
 
kipimo ni M4C,kama mnajiamini nendeni dodoma,moro au zenji tuone.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kilombero iko juu kwa upinzani. Hata Zanzibar am sure.
 
nimejaribu kuangalia mwenendo wa mabadiliko ya kisiasa nchini na kujionea kuwa sehemu muhimu ambazo ccm hawatakiwi kufanya kosa ni zanzibar,dodoma na morogoro.
Hata chadema wanalijua hili ndio maana maandamano na uhamasishaji hayajafanyika katika sehemu hizi.kote huku ccm ina nguvu ya kutosha ambayo haijaathiriwa na chadema na pia haijaathiriwa na uchaguzi wa 2010.
Naamini M4C itapata changamoto kubwa katika maeneo tajwa na hii innafanya maeneo haya kuwa na majimbo muhimu uatakayoamua musyakabali wa nchi mwaka 2015.
M4C nikama maji usipo yanywa utayakoga.

Zanzibar si ndo hao hawataki Muungano!Ukiangalia Dododma ni kati ya mikoa ambayo haina maendeleo makubwa, wakina matonya kibao. Kwanini hata wanawangangania hawa mafisadi, hawataki maendeleo.

Ina wapiga kura sawa na wa Arusha mjini
 
Nimejaribu kuangalia mwenendo wa mabadiliko ya kisiasa nchini na kujionea kuwa sehemu muhimu ambazo ccm hawatakiwi kufanya kosa ni zanzibar,dodoma na morogoro. Hata chadema wanalijua hili ndio maana maandamano na uhamasishaji hayajafanyika katika sehemu hizi.kote huku ccm ina nguvu ya kutosha ambayo haijaathiriwa na chadema na pia haijaathiriwa na uchaguzi wa 2010. Naamini M4C itapata changamoto kubwa katika maeneo tajwa na hii innafanya maeneo haya kuwa na majimbo muhimu uatakayoamua musyakabali wa nchi mwaka 2015.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Jingalao,
Utakumbuka kwamba kabla CHADEMA haijafanya ziara huko Kusini mlikuwa mnasema CHADEMA haina mvuto huko na ndio ngome pekee ya CCM iliyobaki. Leo imeenda huko na baada ya ngome kusambaratishwa mnajidai ngome yenu ni Dodoma na Morogoro. Mtacheza ngoma ya CHADEMA mpaka 2015.

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Mimi nimefurahisha na username ya mtoa maada.Likanijia wazo kwa utani kwamba huenda jina linaendana na maada.

Lakini kwa mtazamo wangu,binadamu hukubali mabadiliko ya kifikra.Leo unaweza kuwaona na mwelekeo wa itikadi ya magamba kwa vile walidhani wapata haki zao kupia magamba.Na baada ya m4c kuingia na kuwapa shule, ndugu yangu ''jingalao'' utashangaa walivyo waelewa kuliko hata wale wa A twn na Drs.Watanzania tuna uchu na mabadiliko.Tumechoka kudhalauliwa na sera za kiunyonyaji na manyanyaso na vitisho.
 
Kama mnajiamini nendeni Dodoma na Moro au Zenji tuone.
jingalao,
Ukiona umemshika loba kibaka shingoni alafu analia lia na kusema kwamba mbona hunishiki kiunoni ujue loba imekubali, hivyo endelea kumshika na usiachie. Lakini ukiona umemshika ametulia tuli basi ujue umeliwa na muda wowote anaweza kukuponyoka. Nadhani umeelewa somo! TAKE CARE.

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
kama milioni moja point tano hivi.
jingalao, itoe Zanzibar kwenye hiyo hesabu yako ya kuungaunga, visiwa vya Unguja na Pemba havina impact yoyote ile katika kura ya kumtafuta Raisi wa Jamhuri ya Muungano. Kwanza idadi ya wakazi wote wa visiwa hivyo pamoja na ambao hawajazaliwa kwa ujumla wao hawafiki hata milioni hiyo moja point tano uliyoitaja!

Mwaka 2010 kura zilizomweka Dr. Shein madarakani hazikufika hata laki mbili...in actual fact zilikuwa 179,809 tu! Hata wenye sifa ya kupiga kura kwa ujumla wao hawafiki laki nne. Matokeo ya Referendum ya tarehe 31 July 2010 kura za ndio zilikuwa 188,705 na hapana zilikuwa 95,613...jumla ya kura zilizopigwa ikiwa 284,318 tu!

Raisi wa Muungano anaweza kupatikana bila hata kura moja ya Mzanzibari, huo ndio ukweli!
 
Last edited by a moderator:
Kaka Morogoro ipi hiyo unayoizungumzia?,Kwa mfano Kilombero Chadema ilichukua CCM wakaiba kura,Mvomero kwa Amos Makala Chadema nako walichua,CCM kama kawa wakachakachua,Chadema wakachukua tena jimbo la Ulanga iliyokuwa ya Juma Ngasongwa,jamaa wakaiba tend kama kawa!,In short CCM hawana Chao Morogoro,Kwani hata Manispaa,Moro rural,Mikumi,Hata Kilosa ukipigwa uchaguzi CCM watayatema majimbo yote,People in Moro are sick n' tired of their rubbish!,Sijui huko Dodoma na Zenji,But in Moro CCM is dead n' gone!
 
Back
Top Bottom