ZANZIBAR,DODOMA NA MOROGORO kuamua mshindi 2015

Ufisadi wa Lowassa huu hapa:

1. Kununua jumba la kifahari London, Uingereza, lenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1 za Tanzania

Metropolitan police wa Uingereza wanachunguza suala hili. Wamewasiliana na anti-money laundering unit ya Tanzania kuchunguza suala hili.

2. Ufisadi wa Nyumba ya Sanaa

Lowassa ni mhusika mkuu wa kufanya uporaji wa ardhi ya Nyumba ya Sanaa iliyopo karibu na Serena Hotel (zamani Movenpik Hotel). Nyaraka zinaonesha yeye ni mmiliki wa kampuni inayojenga gorofa kubwa kwenye eneo hilo la Nyumba ya Sanaa.

3. Utajiri usioelezeka (unexplained wealth)

Akiwa kama kiongozi wa umma, Lowassa amejilimbikizia mali nyingi sana za thamani ya mabilioni ya shilingi. Mali alizo nazo haziendani na kipato chake kama kiongozi wa umma. Sheria ya kupambana na rushwa Tanzania iko wazi kuwa kiongozi wowote wa umma mwenye utajiri usioendana na mapato yake halali anastahili kufikishwa mahakamani. Kutokana na sera za kulindana na kuogopana, Lowassa, Andrew Chenge, na viongozi wengine wa umma hawajafikishwa mahakamani kwa kosa hili na PCCB. Pia kwenye fomu za kila mwaka za kutaja mali, Lowassa haja declare assets zake zote. Ana miliki Alphatel, Alpha Schools, Alpha House, apartment blocks Dar es Salaam, Arusha na nje ya nchi.

4. Land grabbing

Alipokuwa Waziri wa Ardhi enzi za utawala wa Mwinyi alihusika na uporaji mkubwa wa ardhi sehemu mbali mbali nchini.

5. Richmond

Lowassa ndiye aliyeagiza TANESCO waporwe madaraka ya kusimamia tenda ya umeme kinyume na sheria ya manunuzi, PPRA. Aliunda kamati ya makatibu wakuu na kusimamia kwa karibu majadiliano ya kamati hii na nRichmond na kuagiza wapewe tenda wakati Tanesco waliikataa Richmond kuwa haifai. Lowassa ndiye mhusika mkuu wa kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana alilazimika kujiuzulu.

6. Need I say more?

Lowassa ni mchafu wa maadili. Anapenda sana mali, amejilimbikizia utajiri kuliko kipato chake halisi. Wafuasi wake wanamfanananisha na Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Tofauti ya Zuma na Lowassa ni kuwa Zuma alifikishwa mahakamani na kusafishwa na mahakama. Lowassa apelekwe kortini kujibu shutuma za ufisadi, akishinda kesi ndio atakuwa amesafishwa kweli. Si kwa kutumia vyombo vya habari na waandishi wa habari wenye njaa.

Source: Double Agent
 
JINGALAO KWELI!!!!!! Nafikiri kuwa jina linasadifu? Ungeongelea kanda ya ziwa ningekuelewa!!!!!
 
Ina wapiga kura sawa na wa Arusha mjini

Hayo uliyoyasema labda kwa mgombea urais wa CCM ndie anaetakiwa KUWAPIGIA MAGOTI WAZIBAR WALIOJAZWA KATIKA NEC, CC.
lakini zanzibar unaweza kushinda urais hata ukipta kura zero HUKO!
na SINGIDA!
 
baada ya mikoa ya kusini then morogoro, Dodoma na SINGIDA!
 
unamaanisha watu wenye umri zaidi ya miaka 18 ni 1.5 milln?? na population nzima ni watu wangapi?

huyo amezungumzia sensa kwa ujumla bila kujielewa,wapiga kura halisi sidhani kama watazidi laki 6
 
kama milioni moja point tano hivi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

wote hao! wametoka wapi wakati mgombea anashinda ubunge /uwakilishi kwa kupata kura 2,500 kati ya kura zote zilizopigwa?!!! tena utakuta tume ya uchaguzi inamtangaza mshindi huyu kapata 85% ya kura zote!!!!!!!!!!!!!! Just imagine hizo kura ni ngapi.
 
Ufisadi wa Lowassa huu hapa:

1. Kununua jumba la kifahari London, Uingereza, lenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1 za Tanzania

Metropolitan police wa Uingereza wanachunguza suala hili. Wamewasiliana na anti-money laundering unit ya Tanzania kuchunguza suala hili.

2. Ufisadi wa Nyumba ya Sanaa

Lowassa ni mhusika mkuu wa kufanya uporaji wa ardhi ya Nyumba ya Sanaa iliyopo karibu na Serena Hotel (zamani Movenpik Hotel). Nyaraka zinaonesha yeye ni mmiliki wa kampuni inayojenga gorofa kubwa kwenye eneo hilo la Nyumba ya Sanaa.

3. Utajiri usioelezeka (unexplained wealth)

Akiwa kama kiongozi wa umma, Lowassa amejilimbikizia mali nyingi sana za thamani ya mabilioni ya shilingi. Mali alizo nazo haziendani na kipato chake kama kiongozi wa umma. Sheria ya kupambana na rushwa Tanzania iko wazi kuwa kiongozi wowote wa umma mwenye utajiri usioendana na mapato yake halali anastahili kufikishwa mahakamani. Kutokana na sera za kulindana na kuogopana, Lowassa, Andrew Chenge, na viongozi wengine wa umma hawajafikishwa mahakamani kwa kosa hili na PCCB. Pia kwenye fomu za kila mwaka za kutaja mali, Lowassa haja declare assets zake zote. Ana miliki Alphatel, Alpha Schools, Alpha House, apartment blocks Dar es Salaam, Arusha na nje ya nchi.

4. Land grabbing

Alipokuwa Waziri wa Ardhi enzi za utawala wa Mwinyi alihusika na uporaji mkubwa wa ardhi sehemu mbali mbali nchini.

5. Richmond

Lowassa ndiye aliyeagiza TANESCO waporwe madaraka ya kusimamia tenda ya umeme kinyume na sheria ya manunuzi, PPRA. Aliunda kamati ya makatibu wakuu na kusimamia kwa karibu majadiliano ya kamati hii na nRichmond na kuagiza wapewe tenda wakati Tanesco waliikataa Richmond kuwa haifai. Lowassa ndiye mhusika mkuu wa kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana alilazimika kujiuzulu.

6. Need I say more?

Lowassa ni mchafu wa maadili. Anapenda sana mali, amejilimbikizia utajiri kuliko kipato chake halisi. Wafuasi wake wanamfanananisha na Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Tofauti ya Zuma na Lowassa ni kuwa Zuma alifikishwa mahakamani na kusafishwa na mahakama. Lowassa apelekwe kortini kujibu shutuma za ufisadi, akishinda kesi ndio atakuwa amesafishwa kweli. Si kwa kutumia vyombo vya habari na waandishi wa habari wenye njaa.

Source: Double Agent

ipo wapi hii????pccb
 
kipimo ni M4C,kama mnajiamini nendeni dodoma,moro au zenji tuone.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

eeeh,,sasa mdau kwakua nimetoa maelezo ndo unanipachika na uchadema????kumbe wewe msisiem,,,maana mi nimechambua nilichokiona tu na nnachokijua,,,,unanambia twende,,,,niende wap????me nalima kilombero
 
jingalao, itoe Zanzibar kwenye hiyo hesabu yako ya kuungaunga, visiwa vya Unguja na Pemba havina impact yoyote ile katika kura ya kumtafuta Raisi wa Jamhuri ya Muungano. Kwanza idadi ya wakazi wote wa visiwa hivyo pamoja na ambao hawajazaliwa kwa ujumla wao hawafiki hata milioni hiyo moja point tano uliyoitaja!

Mwaka 2010 kura zilizomweka Dr. Shein madarakani hazikufika hata laki mbili...in actual fact zilikuwa 179,809 tu! Hata wenye sifa ya kupiga kura kwa ujumla wao hawafiki laki nne. Matokeo ya Referendum ya tarehe 31 July 2010 kura za ndio zilikuwa 188,705 na hapana zilikuwa 95,613...jumla ya kura zilizopigwa ikiwa 284,318 tu!

Raisi wa Muungano anaweza kupatikana bila hata kura moja ya Mzanzibari, huo ndio ukweli!
ukiiongelea zanzibar unaiongelea DAr na Bagamoy.kama utaeza kuzielewa busara zangu!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
M4C kila mahali ccm imekufa haina chake tena ccm amebaki Nape 2, waulize ilikopita M4C wakupe habari yake,
 
Wapinzani ki ukweli wanashika chat hasa chama cha chadema.
Hivyo ccm kiroho safi wanaonekana kuelemewa kwa kila nyanja.
 
mbwembwe za M4C morogoro sijazisikia kama ilivyokuwa arusha.naendelea kusisitiza sehemu nilizotaja ndio mwiba kwa chadema,mtake msitake.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
hata na Singida msiwaache nyuma, kwani kuwa na mabadiliko ni lazima?
 
Attachments

  • mwigulu Nchemba.jpg
    mwigulu Nchemba.jpg
    36.2 KB · Views: 20
Itisha mkutano wa hadhara wa ccm halafu usiwaweke hawa wafuatao kama watoa hotuba uone kama utapata hata watu Mia mbili: Magufuli, Sita, Mwakyembe. Muulizeni nape alichokiona Bukoba mpaka alitamani kuhamia chadema. Pia nashukuru mtoa mada kwa kuweka wazi kuwa ccm imebaki sehemu hizo tu, kazi ndogo imebaki upinzani, ni kuingia ikulu tu kwani idadi ya watu wa sehemu hizo ni ndogo ukilinganisha na ukubwa nchi yetu
 
Ufisadi wa Lowassa huu hapa:

1. Kununua jumba la kifahari London, Uingereza, lenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1 za Tanzania

Metropolitan police wa Uingereza wanachunguza suala hili. Wamewasiliana na anti-money laundering unit ya Tanzania kuchunguza suala hili.

2. Ufisadi wa Nyumba ya Sanaa

Lowassa ni mhusika mkuu wa kufanya uporaji wa ardhi ya Nyumba ya Sanaa iliyopo karibu na Serena Hotel (zamani Movenpik Hotel). Nyaraka zinaonesha yeye ni mmiliki wa kampuni inayojenga gorofa kubwa kwenye eneo hilo la Nyumba ya Sanaa.

3. Utajiri usioelezeka (unexplained wealth)

Akiwa kama kiongozi wa umma, Lowassa amejilimbikizia mali nyingi sana za thamani ya mabilioni ya shilingi. Mali alizo nazo haziendani na kipato chake kama kiongozi wa umma. Sheria ya kupambana na rushwa Tanzania iko wazi kuwa kiongozi wowote wa umma mwenye utajiri usioendana na mapato yake halali anastahili kufikishwa mahakamani. Kutokana na sera za kulindana na kuogopana, Lowassa, Andrew Chenge, na viongozi wengine wa umma hawajafikishwa mahakamani kwa kosa hili na PCCB. Pia kwenye fomu za kila mwaka za kutaja mali, Lowassa haja declare assets zake zote. Ana miliki Alphatel, Alpha Schools, Alpha House, apartment blocks Dar es Salaam, Arusha na nje ya nchi.

4. Land grabbing

Alipokuwa Waziri wa Ardhi enzi za utawala wa Mwinyi alihusika na uporaji mkubwa wa ardhi sehemu mbali mbali nchini.

5. Richmond

Lowassa ndiye aliyeagiza TANESCO waporwe madaraka ya kusimamia tenda ya umeme kinyume na sheria ya manunuzi, PPRA. Aliunda kamati ya makatibu wakuu na kusimamia kwa karibu majadiliano ya kamati hii na nRichmond na kuagiza wapewe tenda wakati Tanesco waliikataa Richmond kuwa haifai. Lowassa ndiye mhusika mkuu wa kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana alilazimika kujiuzulu.

6. Need I say more?

Lowassa ni mchafu wa maadili. Anapenda sana mali, amejilimbikizia utajiri kuliko kipato chake halisi. Wafuasi wake wanamfanananisha na Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Tofauti ya Zuma na Lowassa ni kuwa Zuma alifikishwa mahakamani na kusafishwa na mahakama. Lowassa apelekwe kortini kujibu shutuma za ufisadi, akishinda kesi ndio atakuwa amesafishwa kweli. Si kwa kutumia vyombo vya habari na waandishi wa habari wenye njaa.

Source: Double Agent

mengi uliyoorodhesha niya uongo na outdated, seems hauko updated.

Kashfa ya kununu nyumba huko uingereza ilishafungwa kitambo baada ya kuonekana uhalali wake.

Kuhusu richmond: alieleza dodoma kwenye kikao cha chama chake kuwa alishauri richmond isipewe zabuni lakini rais akasema kuwa tayari kamati ya makatibu wakuu ilikuwa ikisshughulikia, so, juu ya hili wewe umeeleza kinyume, umetumwa kumchafua?!, tafuta ukweli.

Kuhusu utajiri wake: ni utajiri wa urithi, uliza historia ya baba yake toka alipohama kutoka meru kuhamia umasaini alikuwa na utajiri mkubwa, upo hapo?!, need to be agreat thinker?!.
 
Back
Top Bottom