Zana za kivita za MALAWI

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,883
155,853
Hawa ni askari wa Malawi wakifanya mazoezi kwenye mwambao wa ziwa Nyasa.
Hizi bunduki zao mi naziona kama zile amabazo polisi wetu wanalindia mabenki.
527093_432953680081367_2086151748_n.jpg
 
Hawa ni askari wa Malawi wakifanya mazoezi kwenye mwambao wa ziwa Nyasa.
Hizi bunduki zao mi naziona kama zile amabazo polisi wetu wanalindia mabenki.
527093_432953680081367_2086151748_n.jpg

Bora hawa jamaa kwani sisi tuna silaha za kutosha kumbukeni kule Gongo la Mboto na Mbangala tulitumia kwenye watanzania wasio na hatia na hivyo ndo vikosi vikubwa.

 
Kwa ujumla hawa jamaa wanatafuta balaa. Hii ni fursa nzuri kwa tanzania kutumia zana zote zilizokwsha mudawake. Hakuna sababu ya kusubiri mabom mengine yalipuke mbagala au goms. Tukivurumisha machache tu kwa hawa wachewa watakimbaje!
 
Kabla vita havijaanza mi nashauri maraisi wetu wakapigane ngumi, atakaye pigwa basi ihesabike nchi yake imeshindwa.
Vita ni gharama kubwa sana na havina macho.
 
Basi tuwekee picha za askari wa Tanzania wenye viatu sori upande na viraka matakoni. Maandalizi nayo muhimu tuyaone. Nadhani wakiingia vitani Malawi kazi yao ya kwanza itakuwa kuiba mali za raia maana kama wanashiriki ujambazi huko itakuwaje? Pia wanajeshi wetu wanafaa sana kuwa makada wa CCM. Hivyo ukiwatuma vitani wengi watauawa kama panzi. Tofautisha jeshi la wakati wa Mwalimu Nyerere na jeshi la sasa la kishikaji. Mfano mdogo muangalie mkuu wa majeshi yenu alivyo laini. Hana sura ya Kikurya ya kutisha wala mwili mkubwa wa kutisha wala sifa zaidi ya kuibuka tu. Sidhani kama Mwamunyange na Shimbo wanafanya mazoezi zaidi ya kupiga siasa. Nakumbuka walitangaza vita wakati wa kampeni za uchaguzi kuwatisha wapiga kura. Sasa Malawi imewasha moto nenda tuwaone ujanja au ujuha wenu. Wanajua kutumiwa kuiba kura na kuwatishia wazanzibari wanapoamua kulianzisha. Vita si mchezo msifanye mzaha.
 
Kabla vita havijaanza mi nashauri maraisi wetu wakapigane ngumi, atakaye pigwa basi ihesabike nchi yake imeshindwa.
Vita ni gharama kubwa sana na havina macho.

Itakuwaje kama wote wakianguka kabla ya kuanza kupigana hizo ngumi sababu ya pressure?
 
Kabla vita havijaanza mi nashauri maraisi wetu wakapigane ngumi, atakaye pigwa basi ihesabike nchi yake imeshindwa. Vita ni gharama kubwa sana na havina macho.
kama ni hivi naimani tushalipoteza ziwa,mana huyu wa kwetu kabla hajapigwa anadondoka mwenyewe,Akikatwa hata kibao ki1 ana... hapohapo
 
sisi kwetu SMG ndio zinatumia na Mawaziri wetu kama silaha ndogo ndogo za kujilindia, sasa hao askari wenyewe zikoje? au mmeshasahau kuwa Mheshimiwa Malima alikutwa na viji-smg viwili tu??
 
sasa wao wanataka ugomvi wa nini kama chakula tu kwao ni mzozo?

Kwani hapa chakula si mzozo? Na siyo chakula tu,kila kitu hapa ni mzozo. Halafu watu wengine wanashangilia upuuzi aliosema mamvi!
 
Back
Top Bottom