Elimu yetu sio rafiki sana. Haishabiani sana na uhalisia wa maisha ya kila siku.
Wazazi wengi tunahangaika na vijana wetu baada ya kufeli kidato cha nne, mpaka hapo mtoto anakuwa hana ujuzi wa aina yoyote.. kwa hiyo tangu darasa la kwanza mpaka kidato cha nne kijana/binti anakuwa hajui nini cha kufanya.
Sitawazungumzia wanaoendelea mpaka kidato cha sita na vyuo lkn najua malalamiko yao mnayasikia kila kukicha.