Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 3,897
- 5,354
Habari wana-JF kwa ujumla, elimu ndio kila kitu kwa ustawi wa nchi na kwa maendeleo ya mtu binafsi, kuna kijana mmoja la chuga alikuwa akilazimishwa na wazazi wake asome.
Yeye kwa akili ya ujinga akaona kama vile wanamuonea. Sasa amekuwa mtu wa kujitegemea, wazazi wamekuwa wazee, shule alifeli, ajira hakuna, yupo hapa Dodoma makao makuu.
Anafanyakazi ya saidia fundi maiko na hayo hapo juu ndio maneno yake vijana someni kwa bidii kila mtu atabeba msalaba wake mbeleni.