Zama zimebadilika, demokrasia nayo ichukue maana halisi kulingana na historia yake

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,557
3,000
Tunakumbushwa madarasani pia hata mitandaoni kuwa demokrasia ilianza katika mji ATHENS - Ugiriki ambapo watu wachache wenye busara zao walifanya maamuzi juu ya mustakabali ya mji wao ndiyo maana wengi tunaelezea demokrasia kama ni watu (wachache) wanaongoza walio wengi ila tumewaondoa wanawake na watoto sababu wao hutumia hisia kuongoza/maamuzi hivyo sasa hata maoni yangu binafsi tuanze utaratibu huu wa kupima watu akili kabla ya kufanya machaguzi.

POVU RUKSA!
 
Back
Top Bottom