patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 568
afya za viongozi wanaochota mapesa kibao bila ya kufanya kazi is petty? Think again............................afya zao is a public concern too/...........
Vague!
afya za viongozi wanaochota mapesa kibao bila ya kufanya kazi is petty? Think again............................afya zao is a public concern too/...........
Great minds discuss ideas; Average minds discuss events; Poor minds discuss people!
Kwa Hiyo!?
She is on diet beauty has no age,
Si anazeeka jamani! Ukichangia na bata la uwaziri ilikua si haba. Hebu acha unyanyapaa ruta,usitake kutuambia hizo! Siku hizi ukimwi sio hatari kama diabetes.
Mmhh, napita tuu.Umwiki.......
Huyu mama alituudhi na nikamchukia sana wakati alipokuwa wazara ya fedha, nakumbuka Road License alipandisha toka Tsh.20,000/- hadi Laki 350,000/- na baadaye ilipunguzwa lakini hatukurudishiwa hiyo pesa WIZI MTUPU!!! alitaka abaki barabarani yeye na wapambe wake, Mungu sio mzee siku hizi anatoa majibu with no time.
Kwa Hiyo!?
Umwiki.......
Ruta dont waste your time 'miafrika ndivyo tulivyo', tunalia maisha magumu bila kujiuliza nini kinasababisha ugumu huo. Kina Zitto, Mwakyembe, Mwandosya, Mwanri wanakamua pesa yetu huko India then liafrika limoja linakuja na semi za kukariri...eti Simple mind.....
Musiwe na simple minds na kuanza kuzungumzia watu binafsi ambao pengine hata hapa kwenye forum hawatembelei.
Mkuu pole sana; kama binadamu mwenzako anaumwa (kama itakuwa hivyo) then binadamu tunakaa chini na kuanza kujadiri afya ya mtu, Lo inasikitisha sana. Hata kama ulikwaza ktk kiwango kikubwa namna gani inasaidia nini kuomba kwa Mungu ili mwenzako apate malipo hapa hapa duniani? Suppose anatangulia mbele ya haki, what benefits do you attain? Utakuwa na roho ya ajabu ukiona binadamu mwenzako anapata matatizo, wewe ukaa pembeni na kukenua meno nje! Nonsense!
Binaadam hujafa hujaumbika, kama ni ugonjwa au maradhi basi Mwenyeezi mungu atamuondolea, sidhani kama kuna mmoja wetu humu anajijuwa in 2 days time atakuwaje?
"do not judge the book by its cover", hebu kuweni ma great thinkers na si kuongelea watu tuongee ideas.
Ruta unaniangusha, you are of a higher caliber than this, in my opinion.
Naona Mapacha Wawili wanasalimiana.
Vague!
Tafadhari jamani tusimjadili huyu mama, zama zake sasa zimepita.
Sio ugonjwa ni umri. na sie twaelekea huko,
tusijisahau