Zakhia Hamdani Meghji ni nini kinamsibu?!

Huyu mama alituudhi na nikamchukia sana wakati alipokuwa wazara ya fedha, nakumbuka Road License alipandisha toka Tsh.20,000/- hadi Laki 350,000/- na baadaye ilipunguzwa lakini hatukurudishiwa hiyo pesa WIZI MTUPU!!! alitaka abaki barabarani yeye na wapambe wake, Mungu sio mzee siku hizi anatoa majibu with no time.
 
Si anazeeka jamani! Ukichangia na bata la uwaziri ilikua si haba. Hebu acha unyanyapaa ruta,usitake kutuambia hizo! Siku hizi ukimwi sio hatari kama diabetes.

Mhhhhhhhhh! ngoja nikae kimya nisije haribu wikend yako bure!
 
Huyu mama alituudhi na nikamchukia sana wakati alipokuwa wazara ya fedha, nakumbuka Road License alipandisha toka Tsh.20,000/- hadi Laki 350,000/- na baadaye ilipunguzwa lakini hatukurudishiwa hiyo pesa WIZI MTUPU!!! alitaka abaki barabarani yeye na wapambe wake, Mungu sio mzee siku hizi anatoa majibu with no time.

Mkuu pole sana; kama binadamu mwenzako anaumwa (kama itakuwa hivyo) then binadamu tunakaa chini na kuanza kujadiri afya ya mtu, Lo inasikitisha sana. Hata kama ulikwaza ktk kiwango kikubwa namna gani inasaidia nini kuomba kwa Mungu ili mwenzako apate malipo hapa hapa duniani? Suppose anatangulia mbele ya haki, what benefits do you attain? Utakuwa na roho ya ajabu ukiona binadamu mwenzako anapata matatizo, wewe ukaa pembeni na kukenua meno nje! Nonsense!
 
Ruta dont waste your time 'miafrika ndivyo tulivyo', tunalia maisha magumu bila kujiuliza nini kinasababisha ugumu huo. Kina Zitto, Mwakyembe, Mwandosya, Mwanri wanakamua pesa yetu huko India then liafrika limoja linakuja na semi za kukariri...eti Simple mind.....

ni kweli tupu hapa...................gharama za matibabu za hawa waasherati zitatufikisha pabaya......................na hata zile millenium goals itabidi tuzisahau...................
 
Musiwe na simple minds na kuanza kuzungumzia watu binafsi ambao pengine hata hapa kwenye forum hawatembelei.

kama wangelikuwa hawachomoi mafungu hazina wala tusingependa hata kujua yanayowasibu...........................kasheshe ipo wanapominya hela hazina kurekebisha matunda ya uasherati wao kwa gharama zetu.......lol
 
Mkuu pole sana; kama binadamu mwenzako anaumwa (kama itakuwa hivyo) then binadamu tunakaa chini na kuanza kujadiri afya ya mtu, Lo inasikitisha sana. Hata kama ulikwaza ktk kiwango kikubwa namna gani inasaidia nini kuomba kwa Mungu ili mwenzako apate malipo hapa hapa duniani? Suppose anatangulia mbele ya haki, what benefits do you attain? Utakuwa na roho ya ajabu ukiona binadamu mwenzako anapata matatizo, wewe ukaa pembeni na kukenua meno nje! Nonsense!

pole sana Mwenyezi Mungu amenena kutoka kinywani mwake.............................."There shall be no peace for the wicked".......................kwa hiyo uchekelee ni vizuri kuwadhoofisha mafisadi wote kuwa mshahara wa dhuluma ni mauti tu..........
 
Binaadam hujafa hujaumbika, kama ni ugonjwa au maradhi basi Mwenyeezi mungu atamuondolea, sidhani kama kuna mmoja wetu humu anajijuwa in 2 days time atakuwaje?

"do not judge the book by its cover", hebu kuweni ma great thinkers na si kuongelea watu tuongee ideas.

Ruta unaniangusha, you are of a higher caliber than this, in my opinion
.

acha kuuma na kupulizia wakati uleule......................tatizo siyo anaumwa nini bali kwa nini tugharimie matibabu yake kwa kuwekwa bungeni ambako hana mchango na anatumia nafasi aliyopewa na Jk kwa masilahi yake? Pesa ya umma inavyotumika is a great idea for further discussion........
 
Tafadhari jamani tusimjadili huyu mama, zama zake sasa zimepita.
Sio ugonjwa ni umri. na sie twaelekea huko,
tusijisahau

hajafikisha miaka 60 hapo kama mwendo ni huu mdundo basi the end is very close.............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom