Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
huyu bibi mkongwe wa ccm kila siku .................................kuna nini angaliaa hii picha na kama wamfahamu vizuri enzi zake alipokuwa anatesa kwenye wizara mbalimbali kuanzia ya afya, utalii, fedha n.k ambako aliturundikia mzigo wa kodi kwenye mafuta akidai serikali inahitaji fedha za kutengeneza barabara...............lakini huku akitoa misamaha mikubwa ya kodi kwa wawekezaji kama vile KTM n.k.............................ninaona anazidi kuwa mwembamba na hana nguvu........................mumewe alianguka bafuni na akaaga dunia.................................sijui kama kuna uhusiano wowte na kuzorota kwa afya yake hata bungeni hana mchango wowote zaidi ya kukusanya mafao ya Ubunge......