Zaburi 23

Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu.
Asante kwa Zaburi hii nzuri.
 
Mi nimeikariri na hua naisema kila usiku....naamini hua inafanya mambo yangu yaende yapasavyo maana mlinzi nae na kikombe anakijaza mabaraka tele!
 
Inanibariki sana, ongezea na Zaburi ya 121. Nitayainua macho yangu niitizame milima, msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika bwana.....
 
Ndio kilichonifanya nimwamini na kumtegemea MUNGU, hivi ninavyosema leo hii niko kwenye Kazi Mpya, Ofisi mpya na kila kitu ndani....Nilikopita ni mbali na kugumu sana, Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,. Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia.....Zab 124
 
Back
Top Bottom