Nimeanza safari ya kusoma biblia, hakika biblia ni zaidi ya vitabu vyote

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Nataka niwe karibu na Mungu, nataka Mungu aongee na mimi kupitia kitabu cha biblia, Safari yangu ya kusoma biblia ni nzuri sana na kila ninaposoma nafarijika na kujiona nimekuwa tofauti na zamani. naona biblia inaweza kuwa njia sahihi ya kuniweka kwenye mstari sahihi wa maisha yangu.

Biblia imeanza kunipa picha halisi ya maisha ya zamani, sasa na yanayokuja.

Kumbe hii Dunia ya sasa imeshazungumzwa siku nyingi katika biblia kwamba tutapita katika nyakati kama hizi.

Kumbe itafikia wakati binadamu hwatamuamini Mungu, kumbe mashoga yatakuwepo katika Dunia hiii kama tunavyoona sasa na mengine yalivyo sasa yote yamezungymzwa katika Biblia.

Swali, Biblia ilijuaje hayo yote katika miaka 2000 iliopita kama kweli na akili ya mwanadamu?. Hakika huu si uwezo wa mwanadamu.

Ngoja niendelee kusoma….
 
Nataka niwe karibu na Mungu, nataka Mungu aongee na mimi kupitia kitabu cha biblia, Safari yangu ya kusoma biblia nzuri sana na kila ninaposoma nafarijika na kujiona nimekuwa tofauti na zamani. naona biblia inaweza kuwa njia sahihi ya kuniweka kwenye mstari sahihi wa maisha yangu.

Biblia imeanza kunipa picha halisi ya maisha ya zamani, sasa na yanayokuja.

Kumbe hii Dunia hii ya sasa imeshazungumzwa siku nyingi katika biblia itakuwepo.

Kumbe itafikia wakati hawatamuani Mungu, kumbe mashoga yatakuwepo na mengine yalivyo sasa.

Swali biblia ilikuaje hayo yote katika miaka 2000 iliopita. hakika huu si uwezo wa mwanadamu.

Ngoja niendelee kusoma….
Naam, 2023 nilisoma vitabu zaidi ya 45 vya biblia, hakika kuna vingi vizuri
 
Kila mwaka naweka lengo nianze kusoma kuanzia nwanzo mpk mwisho ila nimejaribu mara 4 kila nikianza kusoma page hazizidi mbili usingizi unakuja yani hata jicho halioni jamani..mhhh nadhani nahitaji maombi au nijimwagie maji ya baraka kabla sijaanza kusoma maana si kwa usingizi huo...
 
Kwamba kuna nguvu za giza zinakufuatilia ili usisome
 
Jaribu kusoma ukiwa ofisini kwako km nyumbani ni changamoto
Kila mwaka naweka lengo nianze kusoma kuanzia nwanzo mpk mwisho ila nimejaribu mara 4 kila nikianza kusoma page hazizidi mbili usingizi unakuja yani hata jicho halioni jamani..mhhh nadhani nahitaji maombi au nijimwagie maji ya baraka kabla sijaanza kusoma maana si kwa usingizi huo...
 
Nataka niwe karibu na Mungu, nataka Mungu aongee na mimi kupitia kitabu cha biblia, Safari yangu ya kusoma biblia ni nzuri sana na kila ninaposoma nafarijika na kujiona nimekuwa tofauti na zamani. naona biblia inaweza kuwa njia sahihi ya kuniweka kwenye mstari sahihi wa maisha yangu.

Biblia imeanza kunipa picha halisi ya maisha ya zamani, sasa na yanayokuja.

Kumbe hii Dunia ya sasa imeshazungumzwa siku nyingi katika biblia kwamba tutapita katika nyakati kama hizi.

Kumbe itafikia wakati binadamu hwatamuamini Mungu, kumbe mashoga yatakuwepo katika Dunia hiii kama tunavyoona sasa na mengine yalivyo sasa yote yamezungymzwa katika Biblia.

Swali, Biblia ilijuaje hayo yote katika miaka 2000 iliopita kama kweli na akili ya mwanadamu?. Hakika huu si uwezo wa mwanadamu.

Ngoja niendelee kusoma….
Umefanya jambo jema sana kusoma Biblia takatifu- Neno la Mungu. Mungu awe nawe katika usomaji wako
 
Nataka niwe karibu na Mungu, nataka Mungu aongee na mimi kupitia kitabu cha biblia, Safari yangu ya kusoma biblia ni nzuri sana na kila ninaposoma nafarijika na kujiona nimekuwa tofauti na zamani. naona biblia inaweza kuwa njia sahihi ya kuniweka kwenye mstari sahihi wa maisha yangu.

Biblia imeanza kunipa picha halisi ya maisha ya zamani, sasa na yanayokuja.

Kumbe hii Dunia ya sasa imeshazungumzwa siku nyingi katika biblia kwamba tutapita katika nyakati kama hizi.

Kumbe itafikia wakati binadamu hwatamuamini Mungu, kumbe mashoga yatakuwepo katika Dunia hiii kama tunavyoona sasa na mengine yalivyo sasa yote yamezungymzwa katika Biblia.

Swali, Biblia ilijuaje hayo yote katika miaka 2000 iliopita kama kweli na akili ya mwanadamu?. Hakika huu si uwezo wa mwanadamu.

Ngoja niendelee kusoma….
Ongera! Biblia ilikuwepo tangu kipindi cha manabii! Agano jipya ndo liliandikwa kipindi cha Yesu! Nakushauri anza kusoma kitabu cha "Mithali". Baada ya hapo agano jipya Mathayo mpaka ufunuo. Baada ya hapo saa soma tangu mwanzo hadi ufunuo. Kama ujaokoka omba upewe wokovu vinginevyo utakuwa unasoma kama hadithi
 
Back
Top Bottom