Yusuph Manji achukua fomu za kugombea uenyekiti wa Yanga!

achana nae, shoga huyo,amejiunga leo kutoka fbook!!
ukona mtu anatajataja ushoga sijui nini, ujue hayo ndo yamejaa moyoni mwake, hivyo wewe ndo shoga mwenyewe....yanga si kichaka cha mafisadi....nakushauru unyamaze kama alivyofanya mkapa, nenda kaendelee na biashara zako zingine, la sivyo tutakupopoa mawe hapa jf hadi utajuta nani alikuambia uingie humu.
 
basi hata mm kesho naenda kuchukua form za kugombea uenyekiti!
Pls nichambueni,namiliki gari 4(1balloon+1mafisango+1noah+1vx),shamba la mifugo kuku,wake3,watoto 17,nyumba masaki na mbezi beach,kila mwezi j'berg.
Nichambueni na mm sasa.
 
manji halafu na muhingo hahaaaaa...ndo napata picha muhingo alivokuwa busy pale QC kulipa waandishi wa habari ....maana kuna taarifa za kuaminika kuwa waandishi wote wa magazeti dar es salaam wanalipwa kila mwisho wa mwezi na Manji....hahaaa
 
mafisadi wanajaribu kuingia kila sehemu....kazi kwelikweli....afu ameingia na majina mengi kweli,mara yaoo mara spika...kumbe mtu yule yule amekuja kujisafisha jf...fisadi papa wewe
 
mafisadi wanajaribu kuingia kila sehemu....kazi kwelikweli....afu ameingia na majina mengi kweli,mara yaoo mara spika...kumbe mtu yule yule amekuja kujisafisha jf...fisadi papa wewe
Umekula nn leo wewe mwanadamu?
Au yule jamaa wanayemuita"uso wa mbuzi kakutuma"???
 
Sasa ni rasmi yanga itaongozwa na fisadi kama CCM.................

Ushasahau Mwenyekiti wenu ashawahi kutumikia miaka 3 jela kwa tuhuma za ufisadi, isingekua msamaha wa Rais angekua mwali sasa.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Mimi najiuliza swali moja tu huyu Manji alikuwa Mfadhili wa Yanga muda mrefu sana hakuna aliyepiga kelele, leo tatizo ni kuwa Mwenyekiti? Au Mnataka Yanga iendelee kuwa na migogoro? Simba si yupo Samwel Sitta, Amos Makala, Aden Rage, Sumaye, Nkamia Maji na wengineo? Au hawa sio mafisadi? Mtu aje hapa anihakikishie kwamba hawa niliowataja hapa sio Mafisadi
 
Sasa Yanga kwisha. Huyu Manji aliitaka hii timu muda mrefu, kumbukeni lile Sakata lake la kuifanya Yanga kampuni na awe mmiliki wake. Zogo hili liliendelea na wale ambao walimpinga alifanya kila aliloweza wakaondoka. Nina wasiwasi hata huyu kiongozi aliyeondoka ni kuwa alishawahonga wale wazee ambao hawana kitu ni vibaraghashia tu na yeboyebo!! Lazima kuna biashara anataka pale si bure!!! Hivi si mnajua tena mambo yalee ndani ya balls!! Si bure nawaambia, kuna kitu!! Kwa uchungu gani alio nao kwa watanzania? Angekuwa na uchungu nasi asingekuwa miongoni mwa mafisadi. Kwelii nchi hii sijui haina wenye mamlaka au nisemeje? Pewwwwwwwwwwwwwwwww.
 
Kumbe ndie alikua anawapa nauli wale wazee wenye njaa na kuwapelekea vyombo vya habari ili amngoe Nchunga,,,,na kwasababu ya Watanzania wanavyopenda vya dezo wanaona huyu bonge la mtu!!! huyo ni fisadi na fisadi ni fisadi tu hata akiwa Mkti wa Yanga...ni mwizi na mwizi ni jambazi cdm ikichukua hao ni wa kwanza kuanza nao!!
 
mafisadi wanajaribu kuingia kila sehemu....kazi kwelikweli....afu ameingia na majina mengi kweli,mara yaoo mara spika...kumbe mtu yule yule amekuja kujisafisha jf...fisadi papa wewe

utaumia sana roho mwaka huu,na IDI KIPINGU anachukua fomu ,utakufa kwa wivu wako wa kike
 
Kumbe ndie alikua anawapa nauli wale wazee wenye njaa na kuwapelekea vyombo vya habari ili amngoe Nchunga,,,,na kwasababu ya Watanzania wanavyopenda vya dezo wanaona huyu bonge la mtu!!! huyo ni fisadi na fisadi ni fisadi tu hata akiwa Mkti wa Yanga...ni mwizi na mwizi ni jambazi cdm ikichukua hao ni wa kwanza kuanza nao!!
Ahaaa!!!!!nimeshawagundua katabia kenu kachafu,kumbe mnatutafutia ban ehee,mnajifanya kutuchokoza ili tupandishe then mods watushughurikie eheee!"NAJIWEKA PEMBENI NAOGOPA MSONGAMANO,ELI NITULIEEE NINGOJE CHANGU NA MIEEE"
 
funguka wewe..muhindi kashakufunga macho na hivyo vi hela anavyowapa ...idiot wanatuharibia nchi hawa
Uhuru wa maoni.... Sabodo naye Mhindi kama alivyokuwa Gulamali, Dewji, Bakhresa na wengineo. Mkiugua mnaenda kutibiwa India lakin hapa mnaleta unafiki wenu wa kibaguzi... Manji ameanza leo kujihusisha na Yanga?
 
Back
Top Bottom