Kama kutukana ndio upate cheo, basi kazi wameifanya to the satisfaction of entire CCM!Mara baada ya sirikali ya awamu ya tano kuingia magogoni hawa memba wenzetu waliotikisa hili jukwaa wakati wa uongozi wa awamu ya nne wametoweka kama vile mvua za pwani,tafadhali mwenye taarifa nao atujuze
Sikuhizi kuna cocochanel
Mburudishe DAB