Yupo wapi Lizaboni,Fayza fox na Ritz?

Mara baada ya sirikali ya awamu ya tano kuingia magogoni hawa memba wenzetu waliotikisa hili jukwaa wakati wa uongozi wa awamu ya nne wametoweka kama vile mvua za pwani,tafadhali mwenye taarifa nao atujuze
Kama kutukana ndio upate cheo, basi kazi wameifanya to the satisfaction of entire CCM!
 
Mkuu hawa watu waliokota kuni ila moto wanaota wengine acha wapambane na hali zao
 
Back
Top Bottom