Yupi ni mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,753
36,321
Hello guys, good morning!
Ukosefu wa nguvu za kiume na ukosefu wa fedha vyote ni tatizo.
Je, yupi ni mchawi mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?
 
Kabisa mkuu, sasa mshiko halafu hupigi mechi utafurahia kweli?

Starehe ziko nyingi duniani lakini kwa mwanaume starehe ya mwisho ni hiyo mnaita mbususu.

Ndo hii inatufanya tupambane kutafuta pesa n.k
Mbususu ina maajabu sana
 
Heri usiwe na hela uwe na nguvu, kama demu utapata tu wa hali yako.

Ila uwe na hela na huna nguvu hizo hela zako sidhani kama utazifurahia.

Hela muhimu sana.. yaani umaskini na nguvu za kiume nichague umaskini.

Wanawake hata kwa dildo wanaenjoy mapenz kama kuna hela.. mimba ama watoto utazaliwa kwa kupandikiza kama mengi vile
 
Inamaana amekupa umasikini wa maisha, uzeeke huna mtoto ndugu wafaidi pesa yako.

Watoto ukitaka unawapata. Kuna kupandikiza ama kuna kuasili mtoto.

Kuna taratibu nzuri tu za kisheria na kibaiolojia za kupata watoto bila kusimamisha uuume
 
Back
Top Bottom